Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

Miaka 63 baba mdogo hajawahi kurudi nyumbani

mimi ninachoona kwamba watu hawakatazi mtu kwenda kujitafutia sehemu nyingine,watu hupata mstuko pale unapokata miaka zaidi ya 10+ bila kustuka na hata kujua uliyowaacha wanaishi vipi.

NB;HAPA NDIPO WATU WANAPOJARIBU KUTAFAKARI SHIDA NI NINI KUKATA MIAKA YOTE PASIPO KUSTUKA KURUD NYUMBAN
Kila mtu anawajibika kwa maisha yake, hao uliowaacha kijijini nao waendelee na maisha yao, tatizo letu ni fikra za ujamaa ndio bado zinatufanya hata kuondoka nyumbani tulikozaliwa kuona ni tatizo.
Hata wanyama hulea watoto, lakini wakikua basi huwaacha wajitegemee.
Ndugu sio jukumu lako, ni fikra tu.
 
Mleta mada umesababisha nimemkumbuka marehemu mama yangu, nimeumia sana.

Mama alikua anamuongelea sana mdogo wake alieondoka mwaka 1980, alielekea Arusha toka hapo ikawa ni habari za kusikia tu yuko Mirerani ila hakuwahi kurudi.

Nimewahi kwenda Mirerani kumtafta mara kadhaa sijawahi kumpata. Kuna kipindi nilipewa clue zilizoonyesha kama ni yeye huko Mbuguni lakini nikaambulia patupu.

Ilikua kila nikienda Arusha mama anasema kamuulizie mjomba wako, anajaribu kumuelezea alivyo. Jamaa hajawahi kupatikana hadi mama amefariki. Bibi alifariki 1995 wala jamaa hakutokea.

Mshikaji alikua mwanajeshi, baada ya vita ya Uganda aliporudi tu mwaka 1980 kutoka kampala akaacha jeshi kisha akaenda home kuwasalimia ndugu na jamaa, akaaga anaenda kutafta maisha Arusha jeshi hataki hakurudi tena hadi leo.
 
Hahhaahahahhahaahhajajajajaahahhaa.natamani kubandika sehemu hii[emoji38][emoji38][emoji38]! Mie nitasema ukwel siku zote..nyumba ambyo mwanamke ndo ana akili na smart ndo zinaongoza kwa discpln na maendeleo ya kijamii..haya mapanyabuku yanayoonea wake zao wanataka muda wote mke awe roughy ,awe na mamkaa Mara masizi Mara avae matenge Kama mama mchungaji always huwa shidaaaa[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]! Nimecheka na hizo red suits na puple uwiii Nakufa Mimi jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!..Basi hiyo ndo jamii ya wasukuma[emoji1][emoji119]
Unaonekana wewe unawadharau sana wachungaji. Kwa hiyo unajiona maisha umeyapatia sana siyo ?
 
Basi wako nyuma sana na ndio maana wanasema ukiona jamii kina mama wajinga angalia hata vijana wao hawawezi kuwa na akili kama wanayo ya darasani basi ni ya kukariri tu lakiji sio ya kutumia common sense. Angalia jamii nyingi zinazonyanyasa wanawake huwa hazina maendeleo na hata wakiendelea unakuta hawana classy yapo yapo tu na kuvaa mi suti ya red au purple. Maendeleo sio ya maana
... take care mzee; your freedom of speech is assured BUT freedom after speech is not guaranteed! Yalikuwa maneno ya Idd Amin Dada kwa waandishi wa habari enzi hizo.
 
Kwanza ni marufuku kula pamoja na wanaume...wanaume wanaweza beba chungu Cha mboga na usifanye kitu![emoji1][emoji1][emoji1]! Mie pia nimepitia Sana unyanyasi huo kwa baba...dogo letu mpk leo wanamtreat Kama mfalme!
Nilifight Sana nikajua shortcut ni mm niwe na life zuri . .Kuna ukandamizaji Sana ..Tena ule wa kuumiza ..huoneshwi hata Hati za viwanja zimeandikwaje...yaan unaishi Kama unaelea hewani tu mradi kuche[emoji38][emoji38]! Yaan wanaume wa kisukuma ni balaa!...hawa dawa yao uwazidi tu wanakuwaga Kama mavifaranga yenye mdondo
Sema baadhi ya wanaume sio wote,halafu ukoo/familia yenu ndio inaonekana inashida,hakuna wasukuma wenye tabia kama hiyo
 
Hahhaahahahhahaahhajajajajaahahhaa.natamani kubandika sehemu hii[emoji38][emoji38][emoji38]! Mie nitasema ukwel siku zote..nyumba ambyo mwanamke ndo ana akili na smart ndo zinaongoza kwa discpln na maendeleo ya kijamii..haya mapanyabuku yanayoonea wake zao wanataka muda wote mke awe roughy ,awe na mamkaa Mara masizi Mara avae matenge Kama mama mchungaji always huwa shidaaaa[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]! Nimecheka na hizo red suits na puple uwiii Nakufa Mimi jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!..Basi hiyo ndo jamii ya wasukuma[emoji1][emoji119]
Na mimi nasema kweli siku zote, wanawake wa kisukuma waliokuwa wanasifiwa kwa tabia nzuri hata na makabila mengine wamekwisha
 
Hahhaahahahhahaahhajajajajaahahhaa.natamani kubandika sehemu hii😆😆😆! Mie nitasema ukwel siku zote..nyumba ambyo mwanamke ndo ana akili na smart ndo zinaongoza kwa discpln na maendeleo ya kijamii..haya mapanyabuku yanayoonea wake zao wanataka muda wote mke awe roughy ,awe na mamkaa Mara masizi Mara avae matenge Kama mama mchungaji always huwa shidaaaa📌📌📌📌📌! Nimecheka na hizo red suits na puple uwiii Nakufa Mimi jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣!..Basi hiyo ndo jamii ya wasukuma😄🙌
Kuna msemo usamao wanawake wote ni wapumbavu lakini akina mama wote ni walevu..nadhani hakuna mtu ambae atakubali mamake aitwe mpumbavu.
 
Mtoto wa dada yangu anamiaka 7 anapoteaga, tunamtafuta mji mzimaa hapatikani, ila mda wa chakula kikiletwa mezani tu na yeye anaibuka kama mzimu
Duuu hili n pepo Mkuu mlikemee tu.. n mawazo yanawajia kwa sababu huenda alikuwa profitable hapo nyumbani
 
Back
Top Bottom