zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Daudi aliishia wapi? Suleiman aliishia wapi? Biblia ipo very clear ukimuacha Mungu naye anakuacha. Na alishawaacha na kugeukia mataifa kasome Yohana 1 kuanzia mstari wa 12 kuwa waliowake walimkataa na waliomkubali walifanyika wana wake.Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.
Alichouliza issue ni taifa la Israel au wayahudi as dini? Maana Israel ina waislam wengi kuliko wakristo sasa hao 20% Muslims nao ni waisrael na wanafunga madevu je wanahusika na sifa zako au hawahusiki?Kwa maana hiyo wewe una chuki na wayahudi? Maana huishi kulalamika chuki!! Chuki!!!! Chukii!!
Na kuhoji utaifa wa Israel hizo chuki zako zitakuua bure tafuta pesa acha ujinga wa kupandikiziwa na Wafuga Midevu na Majini!!!
Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. 🇮🇱
Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na nguvu zaidi.
Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.
Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL 🇮🇱!!!!
Mtasubiri sana na Allah wenu nyinyi islamists. Kule Egypt baadhi ya waabudu wa Farao waliamua kuambatana na Wana wa Israel walipoondoka toka utumwani na leo hii na wao ni Waisrael wakiwa na baraka zote. Nanyi ni wakati wenu kufanya uamuziDaudi aliishia wapi? Suleiman aliishia wapi? Biblia ipo very clear ukimuacha Mungu naye anakuacha. Na alishawaacha na kugeukia mataifa kasome Yohana 1 kuanzia mstari wa 12 kuwa waliowake walimkataa na waliomkubali walifanyika wana wake.
Kama unatafuna kucha ni wewe tu. Sasa hivi niko huku kwa nini unanilazimisha niongelee afrika? Mimi ni mtoa habari tu sasa kama wewe Israel inakuumiza hiyo ni shauli yako.Hi mada faida yake nini? Kama sio ukanisa, kwanini usiongelee nchi za Africa zilizo fikisha umri wa miaka 77 au 100 ulete Israel. We ni mpumbafu kazi kutafuna kucha ukiwaza ulete mada gani kuhusu Israel. Hebu tupe faida ya hi mada. Au unataka na mimi nilete Saud Arabia ina miaka mingapi sasa 😄 🤣
Kwa hiyo kwa akili yako kiduchu unasema wayahudi Mungu aliwaacha?Daudi aliishia wapi? Suleiman aliishia wapi? Biblia ipo very clear ukimuacha Mungu naye anakuacha. Na alishawaacha na kugeukia mataifa kasome Yohana 1 kuanzia mstari wa 12 kuwa waliowake walimkataa na waliomkubali walifanyika wana wake.
Wapigwe mawe mazayuniMiaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. 🇮🇱
Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na nguvu zaidi.
Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.
Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL 🇮🇱!!!!
Itanisaidia nini mimi kama ukiwa Mfuga midevu na Majini?Alichouliza issue ni taifa la Israel au wayahudi as dini? Maana Israel ina waislam wengi kuliko wakristo sasa hao 20% Muslims nao ni waisrael na wanafunga madevu je wanahusika na sifa zako au hawahusiki?
You're a psycho nincompoump
Hilo swali gumu sana huyu Myahudi pori kutoka Kwa MtoroHio post yako inaonyesha mmechanganyikiwa kama bibilia zenu 3000years old and 77 years young ok hio Young tunakubali mlipewa nchi na Uingereza, hio ya 3000 years wapi kulikuwa na nchi inaitwa Israel 😄 🤣
"And We conveyed to the Children of Israel in the Scripture that, You will surely cause corruption on the earth twice, and you will surely reach [a degree of] great haughtiness."Miaka 77. Bila shaka, Israel ilirudi katika nchi ya mababu zao na kujenga taifa ambalo linastawi katika eneo ambalo halijawahi kuwataka hapo . Wameshambuliwa, Wamesusiwa, wamesemewa uongo, Wamechukiwa-na bado wanakuwa na kustawi. Wanavumbua vitu ambavyo kwa mwanadamu wa kawaida anashangaa . Wana uwezo wa kujitetea kuliko kipindi cha FARAO ,wafirist,Hitler na magaidi kama vile Hamas,Hezbollah na Houth na Bwana wao Iran hadi leo hii wanaishi kwenye nchi yao pendwa sana Israel. 🇮🇱
Israeli ni muujiza. Si kwa sababu tuliokoka, bali kwa sababu wameumbwa na nguvu zaidi.
Mashujaa wao kila walilolifanya Mungu wao hakuwaacha kamwe.
Heri ya Miaka 77, Israeli. Hakuna mtu atakayevunja moyo kwa kile mnachokitetea na kujilinda. Hata chawa wa magaidi Ritz mdogoye Adiosamigo na wana wa mbwa wote hawataweza milele. LONG LIVE ISRAEL 🇮🇱!!!!
Unabishia ukweli, smortrich m-ukraine, mawaziri wakuu wote wa israel walibadili majina ya kizungu kuwa ya mashariki ya Kati
Wewe na kizazi chako mtapotea na kutoweka kabisa lakini si Taifa la Israel endeleeni tu kutoa ndoto za mwendawazimu!!"And We conveyed to the Children of Israel in the Scripture that, You will surely cause corruption on the earth twice, and you will surely reach [a degree of] great haughtiness."
"So when the [time of] promise came for the first of them, We sent against you servants of Ours - those of great military might, and they probed [even] into the homes, and it was a promise fulfilled".
"Then We gave back to you a return victory over them. And We reinforced you with wealth and sons and made you more numerous in manpower."
"[And said], If you do good, you do good for yourselves; and if you do evil, [you do it] to them [i.e., yourselves]. Then when the final [i.e., second] promise came, [We sent your enemies] to sadden your faces and to enter the masjid [i.e., the temple in Jerusalem], as they entered it the first time, and to destroy what they had taken over with [total] destruction".
Qur’an 17 : 4 - 7.
Kwa hakika kuimarika na kuwa na nguvu kwa Taifa la Israel kwa mara nyingine sii jambo jipya au kushangaza. Mola Mlezi amelisema hilo kwa zaidi ya karne 14 zilizopita kuwa Taifa la Israel litaimarika, kuwa na nguvu na kufanya UHARIBIFU na UDHALIMU kwa mara ya pili kama walivyofanya wa mwanzo wao [tunakumbuka taifa la Isarael lilikuwa na nguvu huko nyuma wakafanya ufisadi katika Ardhi na Mwenyezi Mungu akawasalitishia waja wake wakapigwa wakasambaratika na kupotea kwa taifa la Israel kwa miaka mingi iliyopita].
Bishara ya Allah Mtukufuku ni kuwa watapata nguvu tena na WATAFANYA UDHALIMU tena na tunaona wanayoyafanya.
Lakini AHADI ya Mola Wetu Mlezi iko palepale wakifanya wema ni kwa ajili ya nafsi zao, wakifanya UFISADI atawafanya kama alivyowafanya wa mwanzo wao.
Jews are the most treacherous people....
Kuimarika kwa TAIFA la Israel inaweza kusababisha kueneo kwa FASAD ZAIDI katika ENEO LA MASHARIKI YA KATI.
NOTE: Jews kama watu wengine wanaweza kuwa wema au waovu, Siungi mkoni ANTISEMITISM na wala siamini kuwa WAYAHUDI WOTE NI WABAYA, LAHASHA!!!
Nazungumzia TAIFA LA KIYAHUDI NA AGENDA YAO YA ZIONISM, walio wengi wao..
Mtakumbuka kuwa hata AMERICA as strong and close ally has always troubles with Israel!! Wayahudi on average kama taifa ni Taifa lisiloaminika zaidi duniani.
Wakiendelea na huu ufisadi wao, hili TAIFA WILL NOT LIVE LONG!!!!
Wajinga tu na wapumbavu ndiyo wataamini Propaganda uchwara hizi!!Watoto wa Kiyahudi wanashusha bendera ya Israel
View: https://youtube.com/shorts/IL5ZA2dX2cA?si=tUimRTx8Qooy3bpb
Sawa shoga wa ShetanyahuWajinga tu na wapumbavu ndiyo wataamini Propaganda uchwara hizi!!
Nimekuuliza jambo jingine na ulichojibu ni kitu kingine kabisa. Bila shaka una matatizo ya akili,ni wa kuhurumiwa na ukiwahiwa utakaa sawa.Kwa maana hiyo wewe una chuki na wayahudi? Maana huishi kulalamika chuki!! Chuki!!!! Chukii!!
Na kuhoji utaifa wa Israel hizo chuki zako zitakuua bure tafuta pesa acha ujinga wa kupandikiziwa na Wafuga Midevu na Majini!!!
Kiukweli wewe ni laana kwa Familia yako ikiwa huu ndio msingi wa maisha yako. Halafu cha ajabu ni mtu mzima kabisa.Nimekuuliza jambo jingine na ulichojibu ni kitu kingine kabisa. Bila shaka una matatizo ya akili,ni wa kuhurumiwa na ukiwahiwa utakaa sawa.
Wewe unaeshinda huku jukwaani una pesa.? Mie pesa nnayo na kazi nafanya. FAMILIA YAKO INA BAHATI MBAYA SANA KUWA NA MTU KAMA WEWE NI MAJUTO KWAO.
Just imagine reactions zako.
Uliona wapi mwenye matatizo ya akili akaingia jukwaani, unasema unanihurumia wewe unanijua? Hunijui sikujui unamhurumiaje mtu ambaye humjui? Kuna uwezekano mkubwa wewe ndiyo Una matatizo ya akili!!Nimekuuliza jambo jingine na ulichojibu ni kitu kingine kabisa. Bila shaka una matatizo ya akili,ni wa kuhurumiwa na ukiwahiwa utakaa sawa.
Wewe unaeshinda huku jukwaani una pesa.? Mie pesa nnayo na kazi nafanya. FAMILIA YAKO INA BAHATI MBAYA SANA KUWA NA MTU KAMA WEWE NI MAJUTO KWAO.
Just imagine reactions zako.