Miaka 77 ya UHURU miaka 3,000 ya Umri historia imejirudia Israel

Endelea kubwabwaja hadi akili zikutoke!!
 

Attachments

  • v15044gf0000cvvr7hfog65ghqmc2cbg.mp4
    1.7 MB
Kwa hiyo kwa akili yako kiduchu unasema wayahudi Mungu aliwaacha?
Yeah alishawaacha na kugeukia mataifa YOTE. so ukimuamini unakua taifa teule kasome 1 petro 2:9 ujue taifa teule ni nani?

Amkeni wokovu ni wa wote sio kwa kikundi fulani tu, hao wasipompokea Yesu wanaenda kuzimu kama kawa hakuna uteule.
 
Hata sijui unaongea nini? Mimi ni mkristo kwanini kila anayepinga wazayuni mnamuita muislam? Kwahiyo Gwajima ni muislam? Papa Francis alikua muislam au Martin Luther alikua muislam?

Kibiblia Israel wametokea Syria so hapo kusema ni taifa lao ni uongo. Sio palestina sio Israel hakuna mwenyeji hapo wote wageni kama tu Tanzania hakuna kabila mwenyeji hapa.

Acheni kupotosha
 
Nlijua tu huna unalojua, sio biblia sio historia ndio maana unakimbilia matusi. Pole sana ila shule ni muhimu sana utakua mshirika wa mwamposa bila shaka
Hili si Jukwaa la dini lakini kwa kuwa Una matatizo ya akili umeigeuza mada hii ya Miaka 77 ya uhuru wa Israel kuwa mada ya UDINI. Hata hivyo acha nikuache maana si tatizo lako ni akili yako tu mbovu!,,

Najua naweza sana kushughulika na Mazuzu kama wewe vizuri sana naogopa tu BAN!!! Kwa taarifa yenu wapotoshaji wote kuhusu Israel wananiombea sana nipigwe BAN ili niwape nafasi ya upotoshaji wao humu. Na Mimi siingii kwenye mtego huo kabisa ili niwanyooshe!!
 

Aliyekuuliza dini yako nani? Jukwaa hili si la dini nenda kwenye Jukwaa husika mjinga wewe!!!!
 
Wapambane na moto wa Mungu...
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu tu familia yangu wewe Ina Kuhusu nini mbwa wewe!!

We ni msenge kweli wewe, hivi una akili wewe.? Nawapa pole sana watoto wako kuwa na baba mpumbavu kama wewe. Hata mkeo ana kazi sana aisee, angekuwa mwanamke mwenye akili singekupanulia miguu yake ukamzalisha matako wewe.
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu tu familia yangu wewe Ina Kuhusu nini mbwa wewe!!?.
Familia yako ina hasara sana mpumbavu wewe. Ungekuwa na akili ungetumia nguvu kupambana kujenga maisha yajayo ya wanao. We unatumia nguvu kubwa kutukana dini za watu, una akili mbwa wewe.? Wenye akili hawatukani dini wala kabila za watu kinyonga jike wewe.
 
We ni msenge kweli wewe, hivi una akili wewe.? Nawapa pole sana watoto wako kuwa na baba mpumbavu kama wewe. Hata mkeo ana kazi sana aisee, angekuwa mwanamke mwenye akili singekupanulia miguu yake ukamzalisha matako wewe.
Njoo tu wewe unipanulie nikupige ki moja cha chapchap labda na akili zako zitakaa sawa uache na kuonea huruma usiowajua Mbwa wewe!!
 
Wewe na kizazi chako mtapotea na kutoweka kabisa lakini si Taifa la Israel endeleeni tu kutoa ndoto za mwendawazimu!!
Tatizo unaandika kishabikii


Mwanzo lilipoteaje? Mpaka wakasambaa dunia nzima wakiwa hawana kwao???

No nation whatsoever has lived infinitely....

Maovu yakizidi Mola Mlezii hutoa nafasi kwa watu wengine wenye Wema kuchukua nafasi zao.

Kama ilivyo kwa MKULIMA KUTOA MIMEA ILIYOKOMAA NA ISIYOZALISHA KWA UFANISI KUPISHA MIMEA MIPYA...

Sunnah ya Mola Mlezi iko hivyo!!!

Israel will spreed CORRUPTION in the world that will embed to their eventually demise.
 
Tatizo lako umejazwa na Mihemko ya dini yako ukidhani kuwa wote ni waumini wa dini hiyo!!!!!
Wengine hata tu habari hiyo hatuna mungu unayemwamini wewe wengine tunamuona kama kikaragosi tu na hatumjui na hatumtambui. Sasa wewe Unapokuja na aya za quran nakushangaa sana maana unayoyasema ni ndoto za Mwendawazimu ambaye amelazwa hospital ya Milembe.

Umeuliza Mwanzo lilipoteaje? Kwa taarifa yako hawakupotea walikuwepo walitawanyika tu lakini walikuwepo na wakavunja rekodi ya mataifa ya kale kutawanyika then wakati-Re-Orgo hakuna taifa lingine duniani lililotawanyika baadaye wakaungana na kurudi kwenye ardhi yao ya kale isipokuwa Wayahudi tu.

Unasema Israel wanaeneza Rushwa!! Dunia nzima rushwa imetawala na imetamalaki leo huyo mola wako aje aiadhibu Israel tu? Wewe akili yako inakutuma vizuri? Kwa nini asishughulike na magaidi wa Hamas ambao Wamebaka,wameteka na kuua maelfu ya watu na sasa wanadai mpaka walipwe ili wawalejeshe mateka waliowateka Oct 07,2023?

Hiyo sijui sunnah hiyo Unaijua wewe tu wengine hata kuisikia tu tunaisikia kwako tu
 
Unabishia ukweli, smortrich m-ukraine, mawaziri wakuu wote wa israel walibadili majina ya kizungu kuwa ya mashariki ya Kati
Wabadirishe wasibadirishe wewe Mmatumbi mwenzangu huwezi kubadirisha chochote sana sana utaendelea kubwabwaja kama wana wa Mbwa!!
 
Njoo tu wewe unipanulie nikupige ki moja cha chapchap labda na akili zako zitakaa sawa uache na kuonea huruma usiowajua Mbwa wewe!!
Mtu mzima asokuwa na akili ni janga kwa taifa. Halafu kuna watoto wanajivunia kwa wenzao wana baba, baba mwenyewe echolimal dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwafrika hawez kukomboka,

MPaka turudishe dini za mababu zetu
 
Mtu mzima asokuwa na akili ni janga kwa taifa. Halafu kuna watoto wanajivunia kwa wenzao wana baba, baba mwenyewe echolimal dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watoto ni wangu wewe wanakuuma nini? Hawakujui na huwajui acha makasiriko tafuta pesa!! Ungekuwa nazo hata usingekuwa unashupaza fuvu kwa ajili yangu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…