Alizaliwa palestina, ilitakiwa uelewe kwenye maelezo ya baba yake kuhamia palestina, nimekuwekea na bango wa wazayuni wa marekani wakihamasishana kwenda palestina, maana hamkawii kudai hapakua na nchi ikiitwa palestina
Wewe ni muhaini unastahiki kabisa adhabu ya kifo. Maana unachochea uasi katika jamii. Ishi na watu kwa wema bila kutazama utofauti wa dini yako wala kabila.