Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,660
Mungu ni mwenye rehema atawasamehe, wamefanya yote si kwa kukusudia kulala na Kaka au Dada yake, Mungu pia huitazama nia ya mtu ndani japo bado ni laana, maana imeandikwa amelaaniwa alalaye na binti wa Baba yake.
Kabisa, Mungu wetu ni Mungu wa rehema na kusamehe. Ila toba ni muhimu ili kuupata msamaha.
Kuna post juu hapo wanasema hakuna laana sababu walilala wakiwa hawajui, sasa kama walikuwa hawajui mbona tunalijadili hapa? Ndio limeshakuwa wazi hivyo laana imejidhihirisha live.