Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Wagonjwa wote wana laana?Baraka za Mwenyezi Mungu ni hizi, Afya, Uhai, Uzazi, Amani, Mafanikio, Furaha, Mali, Ufahamu, Maarifa N.k.. Pia zipo baraka za kiroho kwa wale wenye kuona zaidi ya uoni wa kibinadamu.
Baraka hizi zinakuja kwa kutimiza amri kadhaa, ni reward ili kuzipata kwa wingi lazima utii pia uwepo... Karibu.
Waliofariki wana laana?
Maskini wana laana?
Wasio na furaha wana laana?
Machizi na Mbumbumbu wana laana?
Ref; Laana ni kukosa Baraka za Mwenyezi Mungu.