Mungu ni mwenye rehema atawasamehe, wamefanya yote si kwa kukusudia kulala na Kaka au Dada yake, Mungu pia huitazama nia ya mtu ndani japo bado ni laana, maana imeandikwa amelaaniwa alalaye na binti wa Baba yake.
daahNina Ndugu zangu wapo Unguja , hawataki kabisa kutumia jina ukoo wetu
Muishi nao kwa akiliHawa wamama nao changamoto sana
Laana ni nini?Kabisa, Mungu wetu ni Mungu wa rehema na kusamehe. Ila toba ni muhimu ili kuupata msamaha.
Kuna post juu hapo wanasema hakuna laana sababu walilala wakiwa hawajui, sasa kama walikuwa hawajui mbona tunalijadili hapa? Ndio limeshakuwa wazi hivyo laana imejidhihirisha live.
Baraka za Mwenyezi Mungu ni zipi?
Baraka za Mwenyezi Mungu ni zipi?
Sijui maana ya Baraka na hayo maswali mengine ni irrelevant na swali langu, halafu mbona kama unapanic nilijua mtu asiyejua anapaswa kujuzwa, sivyo maandiko yanavyosema?Ili kuokoa nguvu na muda mkuu niambie kwanza unajua maana ya baraka? Halafu Mungu unamfahamu? Hivi wewe uliletwa au ulijileta?
Hahahaha kaamua kujihami amehisi kabisa haya maswali sio poa, subiri aje na majibu ya kugoogleSijui maana ya Baraka na hayo maswali mengine ni irrelevant na swali langu, halafu mbona kama unapanic nilijua mtu asiyejua anapaswa kujuzwa, sivyo maandiko yanavyosema?
Sijui maana ya Baraka na hayo maswali mengine ni irrelevant na swali langu, halafu mbona kama unapanic nilijua mtu asiyejua anapaswa kujuzwa, sivyo maandiko yanavyosema?
Nimekuuliza nini maana ya Laana ukasema ni kukosa baraka za mwenyezi Mungu nikakuuliza nini hizo Baraka za Mwenyezi Mungu? Naona mada umeipindua unakuja na mengine.Maandiko gani unayozungumzia? Sasa hata kabla sijakufunza na kukupa darasa lazima kwanza nijue kiwango cha uelewa wako ili nikupe shule sahihi kulingana na level yako. Hivyo narudia swali je unajua maana ya baraka? Na Mwenyezi Mungu unamjua?
Hebu weka utayari wa kuwa mwanafunzi na mtaka kuelewa bhas na shule itakujia utaelewa kila kitu. Karibu.
Nimekuuliza nini maana ya Laana ukasema ni kukosa baraka za mwenyezi Mungu nikakuuliza nini hizo Baraka za Mwenyezi Mungu? Naona mada umeipindua unakuja na mengine.
Baraka sijui na mwenyezi Mungu simjui.Ndio nakuuliza unajua maana ya baraka? Na Mwenyezi Mungu unamjua? Nifahamishe kwanza hapo tafadhali ndio niweze kukwambia hizo baraka za Mwenyezi Mungu ni nini.
Baraka sijui na mwenyezi Mungu simjui.
"Baraka ni tendo la kumtakia Mtu mema..."Okay, baraka maana yake ni hii, " Baraka ni tendo la kumtakia au kumuombea mtu mema " na Mwenyezi Mungu ndio mkuu wa Mamlaka zote Duniani na Ulimwenguni kwa ujumla.
Sasa turudi kwenye msingi wa swali lako la awali, ulikuwa unauliza nini ndugu?
Afadhali waliosgea mama aseeAisee.ila kipi kina afadhali kama hawa wadau kesi either ya hiz:
1. Ndugu walio share baba
2. Ndugu walio share maa
"Baraka ni tendo la kumtakia Mtu mema..."
Swali langu Baraka za Mwenyezi Mungu ni zipi?
Kweli mkuu uko sahihi kabisa hawa mama zetu hawaUbinafsi wa wanawake ndio unasababisha hayo.
Mtu ukizaa naye mtoto mwambie mtoto baba yake ni nani?
Haipunguzi kitu.
Makosa yao wanayahamishia kwa watoto ili wawachukie baba zao.
Ukiwa baba unamheshimu Sana baba yako.
Maana unagundua namna alikuwa anazinguliwa na Mama. Na shida zote ulikuwa unaambiwa kuhusu baba unagundua ulikuwa uzushi mwingi