Miaka kumi from 2015 - 2025 ni Golden age ya CCM, Mendeleo waliyoyafanya ni CV ya kuwapa ushindi kwenye nchi yoyote East na central Africa

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia.

CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa kupata ushindi hata wangekuwa wanagombea urais Kenya, Zambia, Msumbiji, Congo, Rwanda, Uganda etc.

hakuna chama chochote ama Rais yeyote wa nchi zinazotuzunguka aliyefanya maendeleo mengi kwa nchi yake kuwazidi CCM kwa waliyofanya kwa Tanzania ndani ya miaka 10 hii

imagine kwa miaka zaidi ya 50 wamepita marais tofauti kwa awamu 4, wote hao kwa pamoja from 1961 mpaka 2015 waliweza kuzalisha umeme Megawatts 1600 tu kwa nchi nzima ya TANZANIA, tena hapo tumejumlisha mpaka umeme wa kampuni za kitapeli kama Richmond, iptl, songas, dowans etc.

ila sasa CCM ya miaka 10 hii imewavuka wote na kufikisha MW 4000, wamewapita awamu zote 4 za nyuma

CCM ya miaka 10 hii imejenga hospitali nyingi mpya kuliko zile ambazo zimejengwa na awamu zote 4

CCM ya miaka 10 hii imejenga Flyover nyingi mpaka imetufanya wa Tanzania wasishangae na kuona Fly over ni kitu cha ajabu

CCM ya miaka 10 hii imeleta mpaka treni ya umeme ya kwanza africa mashariki,, nchi jirani zinawaona viongozi wao ni matapeli sababu ya maendeleo ya ccm

KENYA ametuongoza kwa uzalishaji umeme kuanzia tunapata uhuru mpaka miaka 50 mbele,, ila CCM ndani ya miaka 10 hii imeifanya Tanzania impite mpaka kenya kwa uzalishaji umeme na maendeleo mengine

UKWELI 2015 - 2025 NI GOLDEN AGE YA CCM

Ni era pekee ambayo CCM inapinga makampuni ya kifisadi kwa vitendo, ambavyo hata wananchi tunaona

1738925278652.png
 
siipendi CCM lakini ukweli miaka 10 hii maendeleo nimeyaona
 
Useme uthubutu wa magufuri ukishake mazoea ndo maana CCM wanajitapia haya maendeleo ya miundombinu
 
Mwaka wa uchaguzi tutasikia kila ngonjera wakati CAG anasema fedha zinapiigwa kwenda mbele wanampotezea.
 
Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia.

CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa kupata ushindi hata wangekuwa wanagombea urais Kenya, Zambia, Msumbiji, Congo, Rwanda, Uganda etc.

hakuna chama chochote ama Rais yeyote wa nchi zinazotuzunguka aliyefanya maendeleo mengi kwa nchi yake kuwazidi CCM kwa waliyofanya kwa Tanzania ndani ya miaka 10 hii

imagine kwa miaka zaidi ya 50 wamepita marais tofauti kwa awamu 4, wote hao kwa pamoja from 1961 mpaka 2015 waliweza kuzalisha umeme Megawatts 1600 tu kwa nchi nzima ya TANZANIA, tena hapo tumejumlisha mpaka umeme wa kampuni za kitapeli kama Richmond, iptl, songas, dowans etc.

ila sasa CCM ya miaka 10 hii imewavuka wote na kufikisha MW 4000, wamewapita awamu zote 4 za nyuma

CCM ya miaka 10 hii imejenga hospitali nyingi mpya kuliko zile ambazo zimejengwa na awamu zote 4

CCM ya miaka 10 hii imejenga Flyover nyingi mpaka imetufanya wa Tanzania wasishangae na kuona Fly over ni kitu cha ajabu

CCM ya miaka 10 hii imeleta mpaka treni ya umeme ya kwanza africa mashariki,, nchi jirani zinawaona viongozi wao ni matapeli sababu ya maendeleo ya ccm

KENYA ametuongoza kwa uzalishaji umeme kuanzia tunapata uhuru mpaka miaka 50 mbele,, ila CCM ndani ya miaka 10 hii imeifanya Tanzania impite mpaka kenya kwa uzalishaji umeme na maendeleo mengine

UKWELI 2015 - 2025 NI GOLDEN AGE YA CCM

Ni era pekee ambayo CCM inapinga makampuni ya kifisadi kwa vitendo, ambavyo hata wananchi tunaona

View attachment 3227724
Kazi ya Magufuli ya miaka 5 imewabeba Kwa miaka 10!!

Tatizo ni kutaka kumpa sifa hiyo asiyewajibika
 
credit kwa JPM yeye ndio alionesha uthubutu na kumfungulia njia bibi tozo japo kuna wajinga watalipinga hili baada ya kushiba asali
 
Vuka mpaka ukaone mambo juzi juzi nilikuwa Kenya hatuwaifkii labda tunachowashinda ni maneno.

mbona unashindwa kuyataja hayo maendeleo unajificha kwenye
Logical fallacy sasa,, unaficha ficha na kutaka kuhamisha hoja kitaalamu wanaita Strawman fallacy
 
Kwahiyo ulitaka niweke GDP ila mimi nimetumia experience yangu ya kuchakata maana ya maendeleo Kenya wako mbele yetu acha kushupaza shingo.

Sisi labda tuko juu ya Mganda kidogo sana ambaye ni land locked hana Bahari.
 
Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia.

CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa kupata ushindi hata wangekuwa wanagombea urais Kenya, Zambia, Msumbiji, Congo, Rwanda, Uganda etc.

hakuna chama chochote ama Rais yeyote wa nchi zinazotuzunguka aliyefanya maendeleo mengi kwa nchi yake kuwazidi CCM kwa waliyofanya kwa Tanzania ndani ya miaka 10 hii

imagine kwa miaka zaidi ya 50 wamepita marais tofauti kwa awamu 4, wote hao kwa pamoja from 1961 mpaka 2015 waliweza kuzalisha umeme Megawatts 1600 tu kwa nchi nzima ya TANZANIA, tena hapo tumejumlisha mpaka umeme wa kampuni za kitapeli kama Richmond, iptl, songas, dowans etc.

ila sasa CCM ya miaka 10 hii imewavuka wote na kufikisha MW 4000, wamewapita awamu zote 4 za nyuma

CCM ya miaka 10 hii imejenga hospitali nyingi mpya kuliko zile ambazo zimejengwa na awamu zote 4

CCM ya miaka 10 hii imejenga Flyover nyingi mpaka imetufanya wa Tanzania wasishangae na kuona Fly over ni kitu cha ajabu

CCM ya miaka 10 hii imeleta mpaka treni ya umeme ya kwanza africa mashariki,, nchi jirani zinawaona viongozi wao ni matapeli sababu ya maendeleo ya ccm

KENYA ametuongoza kwa uzalishaji umeme kuanzia tunapata uhuru mpaka miaka 50 mbele,, ila CCM ndani ya miaka 10 hii imeifanya Tanzania impite mpaka kenya kwa uzalishaji umeme na maendeleo mengine

UKWELI 2015 - 2025 NI GOLDEN AGE YA CCM

Ni era pekee ambayo CCM inapinga makampuni ya kifisadi kwa vitendo, ambavyo hata wananchi tunaona

View attachment 3227724
Yapi ayo ccm imefanya ccm, kwamba ccm inatoa pesa kwenye acc zake na kuudumia miradi? Sema tu ccm imefaulu katika kufisadi nchi.

Mradi wa mil 100 utaambiwa bil ,wazee wa kuongeza 0 mwishoni, kwa hilo wamefanikiwa sana
 
Kazi ya Magufuli ya miaka 5 imewabeba Kwa miaka 10!!

Tatizo ni kutaka kumpa sifa hiyo asiyewajibika
Hilo shetani lenu la Chato ndo lililoajiri?
Hilo shetani lenu la Chato ndo lolilotupandisha Mishahara?
Hilo shetani lenu la Chato ndo lilituondolea 6% retention fee?
 
Kwahiyo ulitaka niweke GDP ila mimi nimetumia experience yangu ya kuchakata maana ya maendeleo Kenya wako mbele yetu acha kushupaza shingo.

Sisi labda tuko juu ya Mganda kidogo sana ambaye ni land locked hana Bahari.
Weka graf ya maendeleo ya kenya halafu niweke graf ya maendeleo ya Tz
 
In the economic domain, Kenya and Tanzania show distinct characteristics: GDP (current US$): Kenya (107440575838.048, 2023) is higher than Tanzania (79158286333.524, 2023) GDP growth (annual %): Kenya (5.42581615130304, 2023) is higher than Tanzania (5.18805639154843, 2023)
 
Al-mukheef
Ameshaweka bwashee, tuwekee na yako tulinganishe fasta chap
 
Back
Top Bottom