We mjinga kweli Leo unaona hafai hadi mna watoto. Shukuru we unaishi vizur mshenz kweli badala upambanie wanao unawaza ujinga. Kwa uandishi wako huna sifa ya kuwa mke
Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Ok.Nataka mwanaume anishughulikie c huo upuuz
Dada pepo la Uzinzi linakuaandamaMiaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Pole sana Dada, wengi watakukehehi humu, lakini hawajui faida ya kuridhika wakati wa tendo la ndoa ndani ya ndoa. Ni vizuri wakati mkiwa katika maandalizi umwoneshe na kumwambia kwa mahaba sehemu za kukugusa gusa, mwambie pia kuwa huwa hujisikii vizuri anapokuwa hatilii manani hilo tendo. Kumbuka hayo mambo hakuna anayezaliwa anayajua, hata wakati wa kuzaliwa hivyo viungo huwa ni kwa ajili ya kutolea uchavu mwili, kwa hiyo mfundishe mwenzio. Na ninyi wanaume wa Kichaga, fanyeni kila kitu kwa kiasi, kama unajua kuwa huji mapenzi kwa nini unaenda kuoa Kyasaka ?Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu.. nishaurini wakuu
Pole sana yaani hapo solution apate pesa au hiyo kazi nzuri otherwise zungumza naye mwambie hisia zako lkn Mwanamke akichepuka akakunwa nakwambia utamtukana mmeo na kuleta dhahma. Mwambie kilichotufanya tuishi pamoja ni dudu zetu, mengine yalifuata! wajibu wake wa ndoa lazima autekeleze ni lazima na si ombi kwa.maana ndoa.huvunjwa km mmoja wenu hataweza kufanya tendoUmeona eeh! Yaan ni shida sasa mimi nifanyaje na nnahisia
Sina haja ya kuivinja ndoa..nataka tu kuipooza kiu yng
Sina haja ya kuivinja ndoa..nataka tu kuipooza kiu yng
Umtikise haswaa hadi bwawa la chokoleti usipapite.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe nafasi nikutikise haswa hutojutia
Nimecheka comment yako...hutaki bluh bluh au sio....[emoji1787][emoji1787]Wabaongo bana....
Kashapata kamchepuka kake anakuja hapa kutafuta uhalali....
Nilipokua nasoma nikasema mwisho wa hii stori itaishia mahali "kuna mkaka ananifatilia.."..Thats the main point!
Huku juu kote ni blah blah tu...maana ungeongea nae muhusika ndio angetoa majibu ya kubadilika unavyotaka wewe...Humu hamna mtu anaweza kukusaidia in real sense!
Na hiyo "kuna mkaka....".....wewe chepuka bana acha kutafuta visingizio...ukishikwa na ndoa huna ili ujue maisha nini hasa!
Mmh ile we dada una visa, kwanini usikae na mumeo mkajadili kuhusu hizo hamu zako na muulize we ufanyeje unapomuhitaji halafu yeye amechoka? Kumbuka wanaume wanaumiza sana vichwa kuhusu maisha na kutafuta sex kwao ni jambo la ziada sana, inaonyesha wewe ni type ya mwanamke ambaye unataka ukunwe haswaa kisawasawa pili kosa lilifanyika tangu mwanzoni mmeo sio mpenda kugegeda kihivyo na wewe inaonyesha ni nyege mshindo...what a horrible match!Kwa hiyo nivumilie kutokupata raha na kunamtu anataka kunipa raha maisha hayaji mara mbili
Yani hatojuta, nitampa raha ambazo hajawahi kupewa, kiufupi tampa furaha anayoitaka. Wengine hizo sector za mahaba ulisomea kabisa na vyeti first class tunavyo.Umtikise haswaa hadi bwawa la chokoleti usipapite.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahhahahhaYani hatojuta, nitampa raha ambazo hajawahi kupewa, kiufupi tampa furaha anayoitaka. Wengine hizo sector za mahaba ulisomea kabisa na vyeti first class tunavyo.
We jamaa mlaghai kweli [emoji23]Yani hatojuta, nitampa raha ambazo hajawahi kupewa, kiufupi tampa furaha anayoitaka. Wengine hizo sector za mahaba ulisomea kabisa na vyeti first class tunavyo.