Eti na wewe upo kwenye ndoa?
Unatia aibu. Hivi viapo mnavyochukua huwa mnakuwa mntania au?
Kaa ongea na mume wako muiboreshe ndoa yenu. Mambo mazuri huja kwa kuyawekea bidii.
Mchepuko utakusaidia nini? Tamaa mbele mauti nyuma. Yakikukuta utakuja hapa kuandika thread
Soon mnyakyusa atatolewa marinda na mangi..
Na siku zake za furahaa zinahesabika!Wewe fala!
........Hukosa yote kwa pupa!Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
Afadhal umenielewa tena najitahidi kumwongelesha kimahaba na mbwembwe zote za kimahaba mara nyingi ananijibu we unawaza tu mapenzi mambo ya maendeleo.. watu wanadhan nimekurupuka tu kuleta humu hawajui nimevumilia kiasi gani na nikisikia wanawake wenzangu wakisimulia mahaba wanayopewa natamani hata nimkubalie fasta huyo mnyaki
Hiv unafikir sijaongea??
Tena ananijibu nawaza mapenzi tu cwaz maisha so hata kumwambia huwa najishtukia ila najikaza hivyohivyo namwambia tena kwa upole
Nikijisexisha mbele yake ananiambia niache upuuz au anaingiza mada tofaut au anazua kaugomvi tu kunitoa kwenye mood hiyo
Hakuna atakayejua walau siku moja nione inakuwajeZungumza na mwenzio hilo kuwa huridhishwi na namna anavyofanya.
Kuchepuka utakaribisha mgogoro kwenye familia
Kila la kheri...Walaa hana hata kosa mimi ndo nimependa mwenyewe
I've come to realize that a woman will always find a way to quench her thirsty, ampe huyo mnyaki amtikise vizuriWoman go get laid if that's what you want.
But stop trying to taint your husband's image by complaining about his sexual prowess.
You cannot have it all. If he was broke and humping you right still ungelalamika. So think beyond your selfishness. Appreciate the things the poor man is doing for you and your kids.
And if you decide to go ahead and cheat on your husband, prepare yourself for the repercussions.
Juzi kaanzisha Uzi mumewe kajua na marafiki akaomba mods waufute Dada unakichaa cha nyege wala mume tu kujali familia hyo ni heshima kubwa mnoID mpyaa hii wazee
Ilikuwa balaa mwanzoni alikuwa vizur sana sasa amebadilika kabisa majukumu ya famili yalipoangezeka anashindwa kubalance afu mbishi hataki kuambiwa wala kukosolewa kweli anakwazaJe mwanzoni hali ilikuaje maana pia ukumbuke kua kama hajui mfundishe lkn kama ni msongo wa mawazo msaidie how to solve them ili ufurahie ndoa yako
Pia kuhusu njee ya ndoa kumbuka wa nje await hatukosei usije ukatelekeza nyumba so think twice
Ha haaa napata wasi wasi utakuwa wewe ni ninawe.Hakuna atakayejua walau siku moja nione inakuwaje
Not meJuzi kaanzisha Uzi mumewe kajua na marafiki akaomba mods waufute Dada unakichaa cha nyege wala mume tu kujali familia hyo ni heshima kubwa mno