Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Are you married madame?Woman go get laid if that's what you want.
But stop trying to taint your husband's image by complaining about his sexual prowess.
You cannot have it all. If he was broke and humping you right still ungelalamika. So think beyond your selfishness. Appreciate the things the poor man is doing for you and your kids.
And if you decide to go ahead and cheat on your husband, prepare yourself for the repercussions.
Huyo muoga hawezi ukatili huo lazima atapapita kama hapaoniUmtikise haswaa hadi bwawa la chokoleti usipapite.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe hafu nimefatilia uandishi wako you have more than 3 ID's aisee.Sijui sasa hivi utawasumbua mods au wataunganisha ID'sNot me
Mungu siku moja atakujibu maombi yako utampata mwanaume anaejua ndyundyu atakutoa kwa mumeo na utakuwa nae na utashindia ugali na chumvi na kuvaa gauni ya kusaidiwa na ndugu zako na utaishi maisha ya kuomba omba ili mradi tu uwe unafanywa vizuri na huyo mtu.Mungu akusaidie AminMiaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Sasa kwa nini hufanyi kazi unawaza kutiwa tuu while umeolewa?Nimeshasema kunakaka mmoja job ananipenda so nnakaz
Duuuu, pole dada tatizo wanawake huwa hamuwezi kucontrol mahusiano hivyo kuhusu huyo Malafyale au ndumiana sukushari sana utavunja ndoa kwani utamndharau mumeo bila kujua hivyo utakua ndio mwanzo wa ndoa kuvunjikaIlikuwa balaa mwanzoni alikuwa vizur sana sasa amebadilika kabisa majukumu ya famili yalipoangezeka anashindwa kubalance afu mbishi hataki kuambiwa wala kukosolewa kweli anakwaza
Yaan sex mpaka apate ham yeye cku mm nikijiskia nikimpapasa tu analala kifudifudi nyie mnasema tu hamjui naumia kias gan
Umu ndani akuna wtt kuna w2 wazma siyo kira jambo unapoti 2 ilimradi unaweza ukafanya ivyo,masihara yapo ktk mambo haya ila tunapaswa kuwaza kwanza kabla kuposti vichekesho kma ivyo.Miaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
Vunja ndoa yako ukampe Mnyakyusa wako raha.Kwa hiyo nivumilie kutokupata raha na kunamtu anataka kunipa raha maisha hayaji mara mbili
Basi umsimhangaikie tena mamaa mpe huyo mnyaki atingeHiv unafikir sijaongea??
Tena ananijibu nawaza mapenzi tu cwaz maisha so hata kumwambia huwa najishtukia ila najikaza hivyohivyo namwambia tena kwa upole
Nikijisexisha mbele yake ananiambia niache upuuz au anaingiza mada tofaut au anazua kaugomvi tu kunitoa kwenye mood hiyo
Ndo huyo huyo wala hujakosea.......walah nimemdharau sana huyo mwanamke kwa kweli!Ha haaa napata wasi wasi utakuwa wewe ni ninawe.
Namna unavojibu sio mgeni ila may be n stori za jf tu
Lakin hauwezi kuwa wife of somebody na ukaja na justification za ajabu hivi.
Tayar una motive ya ku cheat so go have a fun
Unatafuta justification tu ya kugawa nje huna lolote lile,Ukiona mmeo hajitumi unajituma zaidi,kula koni lamba kudu,finye ken mpaka apandwe wazimu.Vinginevyo ujue keshaoa huko mkoaniMiaka kumi ya ndoa sasa mme wng anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa.Huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili.Yeye ana 35 na mimi nna 32.
Ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaan kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia mm nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake
Ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoan kikaz alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzur niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu... nishaurini wakuu
... kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu..kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu...
Anacheza na akili za watu, huyo mchagga bora amfyekelee mbaliNdo huyo huyo wala hujakosea.......walah nimemdharau sana huyo mwanamke kwa kweli!
Kwa hiyo Boss kaeleweka ashakutongoza na mmekubaliana?Kwa hiyo nivumilie kutokupata raha na kunamtu anataka kunipa raha maisha hayaji mara mbili
Ulivyokuwa unasema mnapendana sana ulikuwa una maanisha nini? Natamani nikutukane tusi kubwa hapa basi tuWoiii! Nikifanya mahaba hayo yaan amapump dk 1 tu tayari unashtukia tu anakoroma anaudhi