Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

Miaka kumi ya ndoa mume wangu hajali hisia zangu; Nimechoka!

Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe.
 
Acha kutafuta soko la biashara yako ya kishetani,mbona huyo broiler wako ulimtafuta kimya kimya bila ushauri,muwe munatupunguzia vitu vya kipumbavu vya kusoma hapa jukwaani wewe kahaba.
 
Kwa hiyo nivumilie kutokupata raha na kunamtu anataka kunipa raha maisha hayaji mara mbili
Sasa kama umeshaamua unafata nini hapa,inaonyesha mume alioa kahaba aliyeficha tabia,kama cha maana ni kuchezewa hayo makalio na kijambio chako kuliko huduma anazokupa si bomolewa tu huo mlango wa DAMPO.
 
Miaka kumi ya ndoa sasa mume wangu anafanya kazi mkoani mwaka wa pili sasa huwa anajitahidi kwa mwezi anakuja mara mbili kutusalimia mimi na watoto wetu wawili yeye ana 35 na mimi nina 32 ananibore anapokuja,huwa kazubaa yaani kadri siku zinavyoenda ndo anazidi kupoteza mzuto wa kimapenzi anapenda style ya kusoma gazet tu mimi ndo nihangaike hapo juu na akijinyoosha hapo kitandani ni kama mfu hanipapasi hafanyi chochote zaidi ya kuutunisha na kuniachia.

Mimi nihangaike nao kweli nakosa raha nikimwambia aje juu anagoma anasema anasema amechoka anastress anawaza apate kazi nyingine aje kukaa na familia yake ananichosha kweli hata kabla hajaenda mkoani kikazi alikuwa ni mtu wa nimechoka nawaza kupata kazi nzuri niwahudumie,kwa kweli huyu mchaga wangu anahangaika na kutujali sana familia yake kwenye issue za ulaji,mavazi na malazi ila mapenzi na mahaba ni extra sana kwake...

Kuna mkaka mmoja job yeye ni mnyakyusa ananifatilia sana, jamaa ananizimia ananiongeleshaga vitu vya kimapenzi sana yani nimeanza kumtamani niwenae kimapenzi atulize kiu yangu ya mda mrefu kaniambia tuwetunakula bata na kuenjoy mapenzi but tutaendelea kurespect family zetu nishaurini wakuu
Nitumie namba yako nikuambie kitu
 
Dah aisee watu kama hao usijaribu kuchepuka, huyo Mangi atakukata shingo. Mpe mitego ya kike mvalie Kanga moko, mkikaa wawili tu room achana na kufuli vaa Kanga tu kaa Mbele yake tanua upaja kidogo aone malighafi kwa mbali utasikia nyura! Naweza pata kimoja hapo lazima damu ichemke! Usisubiri akuanze utaishia kusugua miguu mpandie wewe shika mashine yake ukimbembeleza kwa mahaba Yale ya uchumba kabisa! Mvue suruali taratiibu mwambie naomba nione tu dudu yangu km inatumika mkoani huko akikupa mwambie naomba nijikune nayo hapa kidogo mara umeweka kwenye clitooo jamaa pumzii nzitoooo zitamtoka. Utasikia lkn mama nanihii nimechoka wewe ndo unaizamisha kabsaa nakwambia atapump km anachimba makinikia hahaha. Sema shida ya wake zetu na nyie mkishakuwa kwenye ndoa hamtaki tena romance, kale ka uchokozi flani is kisichana, unaona km utaonekana unanyenyekea! Angalia isije ikawa anakamukiwa mkoani hukooo
Þ
 
Nimemwambia mara kibao ananijibu nivumilie mke wangu hamu inaniishia nahangaika nipate kazi huku niwe pamoja nanyi nikirudi mambo yatarudi kama zamani.Sasa mimi ntavumilia mpaka lini ikiisha stress hii inakuja nyingine na huyu kaka mwingine jaman ananiambiaga maneno mengi ya kimapenzi hadi nimeanzakuvutiwa nae
Mwache Mumeo (kama mna ndoa) uende ukakae na huyo mchepuko wako
 
Wewe ni Malaya...! Naona umekuja kutafuta Mabwana zaidi hapa.....Mungu akujaliye haja ya Kiu yako...!
 
Back
Top Bottom