Miaka mitano ya hayati Magufuli, bei za nafaka hazikupanda namna hii. Sasa zimepanda na wananchi wanakula mlo mmoja na nusu

Jana nimenunua sembe kilo 5 shilingi 8,500/= na kuna watu wanashabikia mahindi yaendelee kupelekwa nje.
Sembe Kg 5 =tshs 10,000/= Mtaani kwetu. Michele Kg 1= 3500/=, maharage Kg1= 3800/=. Nyama Kg1= 10000 maybe ule utumbo Kg1=4000/=. Sabuni Mche1= 4000(Jamaa, white wash,) mbuni siku hizi hakuna. Citron 7000/=, ya Magadi 2000/=. Sabuni za unga utazani zimetiwa unga wa Mahindi bcoz hazina povu. Halafu Mstaafu analipwa Kikokotooo kuuendea Ulimwengu kama huu.
 
Chadema wao awajui kama magu aliakikisha mfumuko wabei ulikoma,wanachijuwa wao mikutano kufunguliwa alafu watu wakawasikiluze uku wana njaa duu hii hatari na nusu, kongolezake mwendazake R.I.P JPM
 
Acha kutudanganya,Kuna asalikubwa kama yakolona lakini vitu avikupanda
 
We utakuwa mpumbavu sana kama wapumbavu wengine wote.
Unawajua wakulima wewe?
Wanaonufaika na bei hizi ni wachuuzi na sio wakulima

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…