Miaka mitano yote iliisha kwa vitisho na kufokafoka tu hakuna la maana liliofanyika.

Polee mzee, muda wako umerudi, endelea!
 

Mkuu unaelewa kua kiti cha uraisi ni taasisi!!..
Sidhani kama unaelewa kama unaelewa basi kuna haja ya kuurudia uzi wako upya ili ulete mantiki!!..
Madharani uzi wako hauakisi kichwa cha habari!!..
Ni vema ukaelezea kama mtu unaefahamu namna uongozi wa tanzania ulivo na namna awamu iliyopita kiweredi la sivyo unaonekana ni wale wanaojiita mashabiki wa yanga hafu hajui hata mchezaji mmoja wa timu hiyo!!
Natumaini umenielewa
 
Yule mtu bado anawabutua tu?

Mimba zake hamjajifungua tu?
 
Matatizo ya kuwa na ubongo mdogo mithili ya kiroboto
 
Amekataa ule upumbavu wa Jiwe..

Pro Jiwe someni hapo👇

 
Hakuna alicho kifanya Magufuli, dah kweli walimwengu ni hatari.
Kijijn kwetu umeme,maji ya bomba uhakika.
 
Tumshukuru Mungu kwa muujiza ule.
 
Unamdanganya nani ambaye hajasoma historian? Hicho kinyago chenu cha Chato usikifananishe na watu wenye heshima yao Duniani kama Castro na Patrice Lumumba. Ufanano huo haupo kabisa.

Waweza kumfananisha Magufuli na Iddi Amini, Kagame au Hitler
 
Kakuta umeme vijijini umefikia vijiji 4000 yeye akapeleka mpaka vijiji 14,000 (ndani ya miaka mitano tu).

Ukishakunywa mbege migombani unakuja kusema hakuna alichofanya alikuwa anabwata.
Nikifuatiliaji upigaji wa Daraja la kigongo ndio nachoka sana Kwa Yule baba, hata Bunge halikuidhinisha
 
Hizi pumba wape kuku wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…