Miaka mitano yote iliisha kwa vitisho na kufokafoka tu hakuna la maana liliofanyika.

Tanzania hatutaki tena aje atokee kiongozi MFITINI, mbaguzi, mwizi na MWONGO kama Magufuli. Mungu aliipenda sana Nchi yetu ndiyo maana akampeleka jehanam Magufuli siku chache tu baada ya kuiba kura za uchaguzi wa mwaka 2020. Kamwe hatatokea HAYAWANI na FEDHULI mwingine kama Magufuli.
Polee mzee, muda wako umerudi, endelea!
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.

Mkuu unaelewa kua kiti cha uraisi ni taasisi!!..
Sidhani kama unaelewa kama unaelewa basi kuna haja ya kuurudia uzi wako upya ili ulete mantiki!!..
Madharani uzi wako hauakisi kichwa cha habari!!..
Ni vema ukaelezea kama mtu unaefahamu namna uongozi wa tanzania ulivo na namna awamu iliyopita kiweredi la sivyo unaonekana ni wale wanaojiita mashabiki wa yanga hafu hajui hata mchezaji mmoja wa timu hiyo!!
Natumaini umenielewa
 
Yule mtu bado anawabutua tu?

Mimba zake hamjajifungua tu?
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Matatizo ya kuwa na ubongo mdogo mithili ya kiroboto
 
Amekataa ule upumbavu wa Jiwe..

Pro Jiwe someni hapo👇

Screenshot_20220521-120959.png
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Hakuna alicho kifanya Magufuli, dah kweli walimwengu ni hatari.
Kijijn kwetu umeme,maji ya bomba uhakika.
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Tumshukuru Mungu kwa muujiza ule.
 
JPM alikuwa jamii za kina Patrice Lumumba, Laurent Kabila, Mahlangu, Abeid Karume, Ahmed bin Bella, Hugo Shavez, Mohamed Mursi and Fidel castro

hachafuki kwa kuandikiwa makala …namna bora ya kumchafua ni kuwaletea maendeleo Wanyonge yale maendeleo ya kweli aliyokuwa anayaleta yeye kwa kiwango cha juu zaid yake

otherwise mnajidanganya

leo hii wote ( Wahuni, Zitto, Mbowe n.k) mkae kushoto na kivuli chake kikae kulia atapata 90% ya kura za Wanyonge

mie naishi uswazi na huo ndio usahihi
Unamdanganya nani ambaye hajasoma historian? Hicho kinyago chenu cha Chato usikifananishe na watu wenye heshima yao Duniani kama Castro na Patrice Lumumba. Ufanano huo haupo kabisa.

Waweza kumfananisha Magufuli na Iddi Amini, Kagame au Hitler
 
Kakuta umeme vijijini umefikia vijiji 4000 yeye akapeleka mpaka vijiji 14,000 (ndani ya miaka mitano tu).

Ukishakunywa mbege migombani unakuja kusema hakuna alichofanya alikuwa anabwata.
Nikifuatiliaji upigaji wa Daraja la kigongo ndio nachoka sana Kwa Yule baba, hata Bunge halikuidhinisha
 
... kama kuna kabila nchi hii watu wake hawana majigambo, kujisikia, viburi, dharau, kujiona, kujiinua, kujitukuza, n.k. basi hao ni wasukuma. Sijui yule mtu alitoa wapi hizo tabia! Hii inazidi ku-prove yule mtu hakua wa kabila aliyotaka kuaminisha watu ni kabila yake.
Hizi pumba wape kuku wale.
 
Back
Top Bottom