Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Siwezi, natarajia ushahidi wa tuhuma zako utakuwa vivid.Unaweza kuweka ushahidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi, natarajia ushahidi wa tuhuma zako utakuwa vivid.Unaweza kuweka ushahidi.
Polee mzee, muda wako umerudi, endelea!Tanzania hatutaki tena aje atokee kiongozi MFITINI, mbaguzi, mwizi na MWONGO kama Magufuli. Mungu aliipenda sana Nchi yetu ndiyo maana akampeleka jehanam Magufuli siku chache tu baada ya kuiba kura za uchaguzi wa mwaka 2020. Kamwe hatatokea HAYAWANI na FEDHULI mwingine kama Magufuli.
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.
Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Kweni hakuna Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Chato?Siwezi, natarajia ushahidi wa tuhuma zako utakuwa vivid.
Matatizo ya kuwa na ubongo mdogo mithili ya kirobotoNamshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.
Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Amekataa ule upumbavu wa Jiwe..Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.
Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Hakuna alicho kifanya Magufuli, dah kweli walimwengu ni hatari.Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.
Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Upo aisee! Ndo ushahidi wa nini uwanja huo?Kweni hakuna Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Chato?
Tumshukuru Mungu kwa muujiza ule.Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.
Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Tatizo IQ.Upo aisee! Ndo ushahidi wa nini uwanja huo?
Pole ujipe wewe ambaye bado unamuabudu MwendazakePolee mzee, muda wako umerudi, endelea!
Unamdanganya nani ambaye hajasoma historian? Hicho kinyago chenu cha Chato usikifananishe na watu wenye heshima yao Duniani kama Castro na Patrice Lumumba. Ufanano huo haupo kabisa.JPM alikuwa jamii za kina Patrice Lumumba, Laurent Kabila, Mahlangu, Abeid Karume, Ahmed bin Bella, Hugo Shavez, Mohamed Mursi and Fidel castro
hachafuki kwa kuandikiwa makala …namna bora ya kumchafua ni kuwaletea maendeleo Wanyonge yale maendeleo ya kweli aliyokuwa anayaleta yeye kwa kiwango cha juu zaid yake
otherwise mnajidanganya
leo hii wote ( Wahuni, Zitto, Mbowe n.k) mkae kushoto na kivuli chake kikae kulia atapata 90% ya kura za Wanyonge
mie naishi uswazi na huo ndio usahihi
Nikifuatiliaji upigaji wa Daraja la kigongo ndio nachoka sana Kwa Yule baba, hata Bunge halikuidhinishaKakuta umeme vijijini umefikia vijiji 4000 yeye akapeleka mpaka vijiji 14,000 (ndani ya miaka mitano tu).
Ukishakunywa mbege migombani unakuja kusema hakuna alichofanya alikuwa anabwata.
Hizi pumba wape kuku wale.... kama kuna kabila nchi hii watu wake hawana majigambo, kujisikia, viburi, dharau, kujiona, kujiinua, kujitukuza, n.k. basi hao ni wasukuma. Sijui yule mtu alitoa wapi hizo tabia! Hii inazidi ku-prove yule mtu hakua wa kabila aliyotaka kuaminisha watu ni kabila yake.
HatariMpaka sasa bwawa la Nyerere lingeshatoa maji na umeme ungeshawaka na viwanda vingeshafanya uzalishaji, SGR ingeshapiga kazi