Miaka miwili bila uhusiano/ uzinzi iliyopelekea nionekane mwendawazimu machoni mwa watu

Good! Nimefurahishwa na majibu yako Mkuu!

Naweza kusema, sababu ya kwanza ni Upendo ulizidi na kuwa nguvu dhidi ya ubinafsi.

Uliwaza na kuona kuwa, katika kuchakata mbususu, ni lazima tu Pesa ingekutoka hata kama sh 500.

Ndipo ukaona ni vema, hata hiyo 500 kumpatia mtoto wako, kuliko kuchakatia mbususu! NIMEKUPATA!

Sababu ya pili ni ya Kiroho! Sina pingamizi katika hiyo.

Sawa! Tuendelee

Umesema ni baada ya kupata mtoto, ni wazi katika maelezo yako kuwa huna au hukuwa na ndoa ila ulipata mtoto.

Nauliza jeeee (in eliud's voice)

Uliwezaje kuendelea kuhusiana na mzazi mwenzako? Kuna Ile kupasha viporo

Ila pia naamini Pengine, ila Sina hakika! Huyo uliyezaa nae ulikuwa unampenda (au ikitokea bahati mbaya?

Uliwezaje pia kulishinda Hilo,
 
Mzazi mwenzangu bahati mbaya kwa sasa hatuna uhusiano wa kimapenzi zaidi ya kuwa wazazi tu, pia tunaishi mbali na huwa nasafiri tu kwenda kumuona mtoto.
Ila pia naamini Pengine, ila Sina hakika! Huyo uliyezaa nae ulikuwa unampenda (au ikitokea bahati mbaya?

Uliwezaje pia kulishinda Hilo,
Mpaka tumezaa mtoto means tulipendana, ila kuna mambo yalitokea upendo ukaota mbawa.
 
Mzazi mwenzangu bahati mbaya kwa sasa hatuna uhusiano wa kimapenzi zaidi ya kuwa wazazi tu, pia tunaishi mbali na huwa nasafiri tu kwenda kumuona mtoto.

Mpaka tumezaa mtoto means tulipendana, ila kuna mambo yalitokea upendo ukaota mbawa.
Hapo nimekupata! Je Pengine, hiyo sababu iliyosababisha upendo kuota mbawa.

Katika hayo mambo yaliyotokea, nayo yalichangia wewe kufanya maamuzi hayo uliyofanya?
 
Safi kabisa!
 
Hapana, maamuzi haya yana sababu tofauti na hilo na nadhani nimeshaeleza hizo sababu.
Ni sawa! Nilichomekea ili kuchokoza tu, ili kutaka kujua juu ya jambo Hilo.

Ninawafahamu watu waliowahi kusalitiwa na waliowapenda sana. Hata wakafikia hatua ya kuamua kuacha kuingia kwenye mahusiano na kujihusisha na sex!

Swali lilitokea hapo!

Hongera Mkuu! Juhudi zako ni kubwa, siwezi kukubeza hata kidogo!

Swali la mwisho ili nisikuchoshe!

Ni faida gani umezipata katika maamuzi hayo uliyofanya!

Na pengine unahisi na kuamini (by observing) kama usingefanya maamuzi hayo!

Faida hii na hii, usingeipata
 
Mkuu nadhani inatosha kwa leo😁

But Nashukuru kwa maswali yako kwani yamefanya tujadili na kubadilishana mawazo ipasavyo 🙏
 
Inawezekana kabisa, hamu zikikubana nawewe unazibana, unashangaa mwaka huu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…