makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Good! Nimefurahishwa na majibu yako Mkuu!Baada ya kupata mtoto akili yangu ilibadilika kabisa, nikawa sina mzuka tena na wanawake muda wote naumiza kichwa ni jinsi gani mtoto wangu ataishi.
Kila nikifikiri kuhusu mapenzi najiuliza kama ni pesa si afadhali nitumie kumhudumia mwanangu kuliko wanawake, nafsi ikawa inanisuta.
Sababu nyingine ni ya kiroho, na hiyo ni baada ya kujifunza kwamba zinaa inaharibu na kuondosha baraka za Mungu katika maisha ya mwanadamu.
Hakuna njia yoyote zaidi ya ku ignore vishawishi hasa kukwepa uwezekano wa kuanzisha mahusiano na wanawake, japo ilikuwa ngumu maana sometimes wadada wanataka wenyewe ila nikaamua kupiga chini na kuziba masikio.
Naweza kusema, sababu ya kwanza ni Upendo ulizidi na kuwa nguvu dhidi ya ubinafsi.
Uliwaza na kuona kuwa, katika kuchakata mbususu, ni lazima tu Pesa ingekutoka hata kama sh 500.
Ndipo ukaona ni vema, hata hiyo 500 kumpatia mtoto wako, kuliko kuchakatia mbususu! NIMEKUPATA!
Sababu ya pili ni ya Kiroho! Sina pingamizi katika hiyo.
Sawa! Tuendelee
Umesema ni baada ya kupata mtoto, ni wazi katika maelezo yako kuwa huna au hukuwa na ndoa ila ulipata mtoto.
Nauliza jeeee (in eliud's voice)
Uliwezaje kuendelea kuhusiana na mzazi mwenzako? Kuna Ile kupasha viporo
Ila pia naamini Pengine, ila Sina hakika! Huyo uliyezaa nae ulikuwa unampenda (au ikitokea bahati mbaya?
Uliwezaje pia kulishinda Hilo,
