Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

Nunua Jenereta

Wee ni mshamba sana kwamba matatzo ya meanza bada ya mwendazake..? Mimi naamini alifanya yake akasepa.... ana 40 na 60 kwangu ... Mama anatakiwa atengeneze taasisis imara

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hatusemi kwamba matatizo hayakuwepo, Lakini tunahitaji kuona nia na malengo thabiti katika kupambana na kuyatatua!

Sio wananchi wako gizani kiongozi yupo kwenye ndege kuhudhuria semina ya gesi ya ukaa! Au wanafunzi wanakaa chini, Barabara mbovu hazipitiki lakini kiongozi yupo anasherehekea Birthday au hafla sijui semina tena anawaruhusu watendaji wale kwa urefu wa kamba! NONSENSE!
 
World economics shakes up! (very common issue)
Were the causes, but we enjoy in freedom we have, hatuishi kama panya buku!
Awali watu wakuwa wanapotea ovyo kama Ben saanane, iliogofya sana.
Pumbavu sana wewe kiumbe
 
Watu ka wewe ndiyo ile isiyotumia akili. Nani kakuambia Ben alipotezwa? Muulize Dj kengeza. Mnataka kutuaminisha ili mwisho wa siku mje mseme eti Rais Samia na yeye alikuwa Makamu wa Rais anajua na yeye hafai.
Serekali ni lidubwana kubwa sana, na sio atakachofanya rais lazima waziri mkuu akifahamu hasa yale ya mapangoni.
 
Naelewa mama ana kazi kubwa ya kuleta ukweli na kurekebisha mambo flani ya kisiasa na kiuchumi yaliyoharibiwa na mtangulizi wake...
Maendeleo hayana usanii. Chapeni kazi kwa akili muache kusingizia wafu
 
Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania.Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara 5 kwa wiki, Ni kipindi ambacho tumeshuhudia kuibuka watu wanaoitwa chawa...
Sukuma gang na uzushi.

Mmekosa mmekosa tu. Samia ndiye chaguo la Mungu la ukweli, au nalo utabisha?
 
Sukuma gang na uzushi.

Mmekosa mmekosa tu. Samia ndiye chaguo la Mungu la ukweli, au nalo utabisha?
Chaguo la Mungu linalowatesa wananchi tena masikini kwa tozo? Chaguo la Mungu linalotesa watu kwa migao ya umeme na maji kila kona? Mungu huyuhuyu wa Yakobo au mungu mwingine? Chawa mpuuzi wewe
 
Malengo ya kuhakikisha umeme bora ni pamoja na kuw na muendelezo, sasa kuna mtu aliacha gesi akarukia bwawa la umeme.

Wanafunzi kukaa chini inatokana na kutozingatia uzazi wa mpango pia. Mkiambiwa kuwepo na udhibiti wa ukuaji wa idadi ya watu mnakuwa wagumu, mnataka kufyatua tu.
Hatusemi kwamba matatizo hayakuwepo, Lakini tunahitaji kuona nia na malengo thabiti katika kupambana na kuyatatua! Sio wananchi wako gizani kiongozi yupo kwenye ndege kuhudhuria semina ya gesi ya ukaa! Au wanafunzi wanakaa chini, Barabara mbovu hazipitiki lakini kiongozi yupo anasherehekea Birthday au hafla sijui semina tena anawaruhusu watendaji wale kwa urefu wa kamba! NONSENSE!
 
Kupoteza kiongozi kama Magufuli ni janga wakuu hao wachache wanaopinga wajifikirie mara mbilimbili.
 
Chaguo la Mungu linalowatesa wananchi tena masikini kwa tozo? Chaguo la Mungu linalotesa watu kwa migao ya umeme na maji kila kona? Mungu huyuhuyu wa Yakobo au mungu mwingine? Chawa mpuuzi wewe
Wanaoteseka ni sukuma gang pekee, kutoka peponi mchezo? Hivi ndugai yuko wapi siku hizi?
 
Freedom in poverty?? Hata sasa watu wanapotea zaidi kwa vifo vinavyotokana na umeme kukatika ghafla huko mahospitalini, wengine wanapotea kwa njaa, wengine kwa hali ngumu ya maisha n.k wewe kama unaishi vyema usizungumzie wengine! Watu wanateseka na migao ya umeme, bei ya vitu kupanda, watu wanashindia mlo mmoja wewe unaongelea huo upuuzi gani? Au hawa wengine sio watu?
mkuu
upo sahihi. nadhani ulipaswa kumalizia phrase kwa kusema KATAA CCM
 
Back
Top Bottom