Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

Freedom in poverty?? Hata sasa watu wanapotea zaidi kwa vifo vinavyotokana na umeme kukatika ghafla huko mahospitalini, wengine wanapotea kwa njaa, wengine kwa hali ngumu ya maisha n.k wewe kama unaishi vyema usizungumzie wengine! Watu wanateseka na migao ya umeme, bei ya vitu kupanda, watu wanashindia mlo mmoja wewe unaongelea huo upuuzi gani? Au hawa wengine sio watu?
Aisee, kumbe una macho.
Wengine kwa madai yake ni panya buku. Huyo mjamaa ni mkimbari kinoma.
 
Mama anaendesha nchi kama MC wa kitchen party!! . Urais kaupata tu ghafla hakutarajia kama atakuja kuwa namba 1 , kwahiyo kumtupia lawama ni kama kumuonea tu ila 2025 tutampa lawama endapo nia ya kuendelea itakuepo maana huu u MC umetuchosha hana la maana tunavumilia tu [emoji38]
 
Nimeishia hapo ulipoandika vi nchi kama Ghana na Angola, Nika scroll down kupima urefu wa uzi , nikasema moyoni not a reading worthwhile.
 
Sukuma gang na uzushi.

Mmekosa mmekosa tu. Samia ndiye chaguo la Mungu la ukweli, au nalo utabisha?
Nakuunga mkono japo na wewe mwanzoni ulimsifia JPM kabla baadae hujaingia mitini na kutoroka jamiiforums ukaufyata mkia ukiogopa kukosoa
 
Wewe utakuwa unaizungumzia awamu iliyopita Mkuu, Mtanzania gani ameuawa.
 
Nimeishia hapo ulipoandika vi nchi kama Ghana na Angola, Nika scroll down kupima urefu wa uzi , nikasema moyoni not a reading worthwhile.
Huyo hana akili. He is bitter labda kakatiwa mrija wa asali aliyokuwa ananyonya awamu iliyopita. Halaf hawa Sukuma gang ukiwapinga wanajua matusi tu maana awamu iliyopita walizoea kuua na kuwatesa wapinzani wao na sio kupingana kwa hoja. Kiufupi hawajazoea kupingana kwa nguvu ya hoja wamezoea hoja ya nguvu
 
World economics shakes up! (very common issue)
Were the causes, but we enjoy in freedom we have, hatuishi kama panya buku!
Awali watu wakuwa wanapotea ovyo kama Ben saanane, iliogofya sana.
Hakika kabisa uhuru wangu ni kitu cha thamani kuliko vyote sasa tupo huru .

Umeme ulikatika sana awamu iliyopita ni vile tu media ziliizimwa uhuru wao.

Ila simshangai sana mtoa mada, awamu iliyopita kuna watu pia waliinjoi, hasa kama una elements ya kanda ya ziwa .
 
Bora Mama Samia mara elfu tatu kuliko muuaji

Waislamu ndo watu wenye Huruma
 
Nakuunga mkono japo na wewe mwanzoni ulimsifia JPM kabla baadae hujaingia mitini na kutoroka jamiiforums ukaufyata mkia ukiogopa kukosoa
Nilifikiri yupo genuine, haikuchukuwa muda mrefu sana kugundua alikuwa ni feki tu.
 
Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania.Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara 5 kwa wiki, Ni kipindi ambacho tumeshuhudia kuibuka watu wanaoitwa chawa...
Mkuu kabla ya kuhitimisha hoja yako juu ya tathimini yako ulioifanya kwa miaka miwili juu ya mwenendo wa kiuchumi wa taifa letu, ebu tupe kwanza picha ya jumla kwa kulinganisha na nchi jirani. Nini tathimini yako juu mwenendo wa kiuchumi wa nchi na wananchi waliopo katika eneo la Maziwa Makuu, EAC pengine hata SADC.

Nafikiri unatambua nini ambacho kinaendelea nchini Kenya, hivi sasa, ambapo kwa kuwa katiba yao ipo rafiki na kuruhusu wananchi kupaza sauti zao bila ya kunyamazishwa na vyombo vyao vya dola.

Hali hii wala haipo kwao tu, ni mwenendo wa kiuchumi kwa dunia nzima hivi sasa. Hata kama haupendi kusikia ukweli, lakini ni bayana kabisa vita kati ya Urusi na Ukraine imetikisa uchumi wa dunia, na "multiplier effect" inazikumba nchi nyingi, na "major intensity" ipo katika nchi za Afrika.
 
World economics shakes up! (very common issue)
Were the causes, but we enjoy in freedom we have, hatuishi kama panya buku!
Awali watu wakuwa wanapotea ovyo kama Ben saanane, iliogofya sana.
Ben saanane ni nini kati ya watanzania 60,000,000?

Watu wanakufa siku zote na kama uliishi kama panya ni dhahiri wewe ni panya mpaka leo.
Ushiga haujawahi kuwaacha salama.
Sasa hivi wanaotekwa nani anawateka?
 
Wenye
Ben saanane ni nini kati ya watanzania 60,000,000?

Watu wanakufa siku zote na kama uliishi kama panya ni dhahiri wewe ni panya mpaka leo.
Ushiga haujawahi kuwaacha salama.
Sasa hivi wanaotekwa nani anawateka?

Wenye element za Ubinafsi wa kikanda pekee ndio walipigwa upofu wa kutoona uovu uliokuwepo au uliokuwa ukifanyika.
 
Ninakiwanda changu hapa cha kufyatua tofari!
Karibu kila siku napata hasara ya mfuko mmoja wa cement mpaka miwili kwa siku....
Bora wewe unapata hasara ya mfuko mmoja au miwili. Kunakipindi WENZAKO wakipoteza roho mbili mpaka tatu za wapendwa wao.

NINI MFUKO WA SARUJI?
 
Back
Top Bottom