Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

Nilifikiri yupo genuine, haikuchukuwa muda mrefu sana kugundua alikuwa ni feki tu.
Kwahiyo ukaogopa kumkosoa na kuamua kukaa kimya? Nje ya mada kidogo ukiletewa muislam mwenye vigezo asilimia 70 na Mkristo mwenye vigezo asilimia 80 utamuajiri yupi kati yao?
 
ni mradi gani wa hovyo labda tueleze wengine ambao hatujui tupate kuelewa.
Kwa wenye uelewa tu. Mradi wa ndege ni mfano mmoja wa miradi ya hovyo kuwahi kutokea nchini. Ni suala la muda tu mtanielewa. Hakuna faida tangu zinunuliwe, nyingi zimepaki viwanjani na nyingine zinanunuliwa kwani Magufuli alishatoa advance payment.
 
Kwahiyo ukaogopa kumkosoa na kuamua kukaa kimya? Nje ya mada kidogo ukiletewa muislam mwenye vigezo asilimia 70 na Mkristo mwenye vigezo asilimia 80 utamuajiri yupi kati yao?
Uzuri wa Uislam tuna nafunzo mema ya Kiislam kwenye kila hali:

Tunazuwia kwa kutumia mikono inapowezekana, isipowezekana tunatumia mdomo (kwa kuzuwia ki hekima) , isipowezekana, tunachukia ndani ya mioyo yetu.

Ukimya wakati mwengine ni hekima kubwa sana.
 
Kwa wenye uelewa tu. Mradi wa ndege ni mfano mmoja wa miradi ya hovyo kuwahi kutokea nchini. Ni suala la muda tu mtanielewa. Hakuna faida tangu zinunuliwe, nyingi zimepaki viwanjani na nyingine zinanunuliwa kwani Magufuli alishatoa advance payment.
Wewe si mjinga,ila ni mwongo tu,na akili yako imepumbaa,umejaa ujinga na upumbavu kichwani mwako,wewe unataka tanzania tusiwe na ndege,nchi gn ambayo haina shirika lake la ndege?!, kwa hiyo ulitaka tusafiri kwa ngamia?.HAYAWANI KABISA WEWE,
 
Bora wewe unapata hasara ya mfuko mmoja au miwili. Kunakipindi WENZAKO wakipoteza roho mbili mpaka tatu za wapendwa wao
NINI MFUKO WA SARUJI??
Hata mbwa anazo akili za kukalilishwa jambo,lkn hana uwezo wa kuleta jambo jipya,labda kubweka tu,ENDELEA KUBWEKA,
 
Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania.Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara 5 kwa wiki....
We uko duniani au uko ahera na Magufuli
 
Wewe si mjinga,ila ni mwongo tu,na akili yako imepumbaa,umejaa ujinga na upumbavu kichwani mwako,wewe unataka tanzania tusiwe na ndege,nchi gn ambayo haina shirika lake la ndege?!, kwa hiyo ulitaka tusafiri kwa ngamia?.HAYAWANI KABISA WEWE,
Acha mihemko mara nyingi mihemko huashiria uchache wa akili.

Hutununui ndege eti kwa sababu tuwe na national carrier. Kuna nchi nyingi tu tajiri duniani hazina mashirika ya ndege.

Umechunguza biashara ya ndege ukajua ikoje. Unajua Kenya airways hawapata faida tangu mwaka gani? Unajua kuwa South African Airways haijapata faida toka 2009 na shirika linaendeshwa kwa bail. Hili ni shirika lenye wabia wakubwa na wengi zaidi ni wazungu wa Uholanzi.

Unajua pia kwamba mashirika mengi makubwa ya ndege duniani kama KLM, British Airways, Air India na hata American Airlines yanachechemea kutokana na biashara ya ndege kuwa ngumu kwa sababu ya market competition?

Wewe unafikiri ndege ni kuwa nazo kama midoli kwasababu mwenzako anazo?

Tangu tununue ndege miaka kadhaa iliyopita umewahi kusikia tomepost faida yoyote ikatangazwa?

Miradi mingi ni hovyo kwa wanaojua ukweli ila kwa wajinga ni sawa kwakuwa wajinga huangalia mambo kwa nje tu.
 
Mama anaendesha nchi kama MC wa kitchen party!! . Urais kaupata tu ghafla hakutarajia kama atakuja kuwa namba 1 , kwahiyo kumtupia lawama ni kama kumuonea tu ila 2025 tutampa lawama endapo nia ya kuendelea itakuepo maana huu u MC umetuchosha hana la maana tunavumilia tu [emoji38]
2025 aendelee na nini?
 
Huyo hana akili. He is bitter labda kakatiwa mrija wa asali aliyokuwa ananyonya awamu iliyopita. Halaf hawa Sukuma gang ukiwapinga wanajua matusi tu maana awamu iliyopita walizoea kuua na kuwatesa wapinzani wao na sio kupingana kwa hoja. Kiufupi hawajazoea kupingana kwa nguvu ya hoja wamezoea hoja ya nguvu
Hivi kwanini wazungu hawakuwa wakiyazungumzia hayo mauwaji?
 
Hakika kabisa uhuru wangu ni kitu cha thamani kuliko vyote sasa tupo huru .
Umeme ulikatika asana awamu iliyopita ni vile tu media ziliizimwa uhuru wao.
Ila simshangai sana mtoa mada, awamu iliyopita kuna watu pia waliinjoi, hasa kama una elements ya kanda ya ziwa .
Uhuru gani mkuu unauzungumzia? Hebu elezea maisha yako yalikosa vp uhuru tofauti na wengine?
 
asubuhi haupoo...usiku haupo..!! miaka 61 ya uhuru nchi hata umeme bado ni changamotoo si boraa WAZUNGU wangeendelea kututawala tu. Afadhali MAGUFULI alijitahidi sana kumaliza hili tatizo sio hawa vibaka waliobaki
 
Ila wew faiz mm cyo sukuma gang ila hii serekali ya mam kuna maeneo yamepwayaaa pwaaa ufisadi wa kutisha sana kwenye nchi hii

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hizo ni fikra zako.

Hakuna Rais aliyeweza kumaliza ufisadi kwa kipindi chake. Si Nyerere, si Mwinyi, si Mkapa, si Kikwete, si Magufuli na usitegemee muujiza kutoka kwa Mama kwa miaka yake miwili.
 
Miaka 2 imekuwa kama miaka 20 Kwa wananchi maskini.

Mungu utukumbuke😪😪
 
Kwani mama si anafungua nchi na anaendelea kuupiga mwingi. Tulieni dawa iingie ili 2025 akili ziwakae sawa.😂😂😂😂😂 Kwa hii hali naamini hata walimu wanaosaidiaga kwenye figisu pindi cha uchaguzi wataacha ujinga washanyooshwa sana
 
Hizo ni fikra zako.

Hakuna Rais aliyeweza kumaliza ufisadi kwa kipindi chake. Si Nyerere, si Mwinyi, si Mkapa, si Kikwete, si Magufuli na usitegemee muujiza kutoka kwa Mama kwa miaka yake miwili.
Watangulizi wa 001, 003,004, 005 walijaribu kupambana na RUSHWA na MAFISADI.

Awamu hii, ameamua "KUWAPOTEZEA".
 
upupu mtupu.
miaka 7 iliyopita tuliwaambia kuwa kuna upuuzi mwingi unaendeshwa na watu ambao walikuwa kutwa wanamsifia Magufuli kuwa anaifanyia mema nchio hii.

wengu wetu tuliwaambia kuwa magufuli huyu anajijenga mwenye na magenge yake ya kina Makonda , Le Mutuz, Mnyeti, Tulia Upson, yule alikua IGP, BaShiru ALLY na mahuni mengine kama kina Polepole.

Kama Magufuli alijenga uchumi imara kwanini ndani ya miaka 2 uchumi juwe umelemaa, kama Magu alitatua tatizo la ajira hawa vijana wasio na ajira leo wanatoka wapi ? ndani ya miaka 2 wamepoteza ajira zao ?

Magu , hakujenga ajira mpya , Magu hakuandaa mazingira bora ya Tanzania Ijayo.

Je bado unaamini kuwa Mradi wa yale madege ulikua wenye tija, Je unaaamini Tanzania inauchumi wa kulaza (sinking fund) ya miradi mikubwa miwili kwa wakati mmoja .

TAZAMA Mradi wa reli ambao yeye na kina Dotto walikopa kwenye commercial bank inavyosumbua ulipaji wake. ?

hebu muacheni apumzike huko CHato ,
Mama Samia ni Imara kuliko Magu, Ndugai , Tulia na hao waliotumika kusimika utawala wenye ukaribu na hatari .

Mama Samia anaipa nchi kila anachoweza ili amani, maendelea na utengamano uwepo.
 
Back
Top Bottom