Ni mradi gani wa hovyo labda tueleze wengine ambao hatujui tupate kuelewa.Naelewa mama ana kazi kubwa ya kuleta ukweli na kurekebisha mambo flani ya kisiasa na kiuchumi yaliyoharibiwa na mtangulizi wake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mradi gani wa hovyo labda tueleze wengine ambao hatujui tupate kuelewa.Naelewa mama ana kazi kubwa ya kuleta ukweli na kurekebisha mambo flani ya kisiasa na kiuchumi yaliyoharibiwa na mtangulizi wake...
Kwahiyo ukaogopa kumkosoa na kuamua kukaa kimya? Nje ya mada kidogo ukiletewa muislam mwenye vigezo asilimia 70 na Mkristo mwenye vigezo asilimia 80 utamuajiri yupi kati yao?Nilifikiri yupo genuine, haikuchukuwa muda mrefu sana kugundua alikuwa ni feki tu.
Kwa wenye uelewa tu. Mradi wa ndege ni mfano mmoja wa miradi ya hovyo kuwahi kutokea nchini. Ni suala la muda tu mtanielewa. Hakuna faida tangu zinunuliwe, nyingi zimepaki viwanjani na nyingine zinanunuliwa kwani Magufuli alishatoa advance payment.ni mradi gani wa hovyo labda tueleze wengine ambao hatujui tupate kuelewa.
Uzuri wa Uislam tuna nafunzo mema ya Kiislam kwenye kila hali:Kwahiyo ukaogopa kumkosoa na kuamua kukaa kimya? Nje ya mada kidogo ukiletewa muislam mwenye vigezo asilimia 70 na Mkristo mwenye vigezo asilimia 80 utamuajiri yupi kati yao?
Wewe si mjinga,ila ni mwongo tu,na akili yako imepumbaa,umejaa ujinga na upumbavu kichwani mwako,wewe unataka tanzania tusiwe na ndege,nchi gn ambayo haina shirika lake la ndege?!, kwa hiyo ulitaka tusafiri kwa ngamia?.HAYAWANI KABISA WEWE,Kwa wenye uelewa tu. Mradi wa ndege ni mfano mmoja wa miradi ya hovyo kuwahi kutokea nchini. Ni suala la muda tu mtanielewa. Hakuna faida tangu zinunuliwe, nyingi zimepaki viwanjani na nyingine zinanunuliwa kwani Magufuli alishatoa advance payment.
Ila wew faiz mm cyo sukuma gang ila hii serekali ya mam kuna maeneo yamepwayaaa pwaaa ufisadi wa kutisha sana kwenye nchi hiiSisi tunamuomba Mwenyezi Mungu ampe afya na utawala mrefu mama Samia.
Hata mbwa anazo akili za kukalilishwa jambo,lkn hana uwezo wa kuleta jambo jipya,labda kubweka tu,ENDELEA KUBWEKA,Bora wewe unapata hasara ya mfuko mmoja au miwili. Kunakipindi WENZAKO wakipoteza roho mbili mpaka tatu za wapendwa wao
NINI MFUKO WA SARUJI??
Mm mwenyww namshanga anavyo fananisha angola na tanzaniaaNimeishia hapo ulipoandika vi nchi kama Ghana na Angola, Nika scroll down kupima urefu wa uzi , nikasema moyoni not a reading worthwhile.
We uko duniani au uko ahera na MagufuliNdani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania.Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara 5 kwa wiki....
Acha mihemko mara nyingi mihemko huashiria uchache wa akili.Wewe si mjinga,ila ni mwongo tu,na akili yako imepumbaa,umejaa ujinga na upumbavu kichwani mwako,wewe unataka tanzania tusiwe na ndege,nchi gn ambayo haina shirika lake la ndege?!, kwa hiyo ulitaka tusafiri kwa ngamia?.HAYAWANI KABISA WEWE,
2025 aendelee na nini?Mama anaendesha nchi kama MC wa kitchen party!! . Urais kaupata tu ghafla hakutarajia kama atakuja kuwa namba 1 , kwahiyo kumtupia lawama ni kama kumuonea tu ila 2025 tutampa lawama endapo nia ya kuendelea itakuepo maana huu u MC umetuchosha hana la maana tunavumilia tu [emoji38]
Hivi kwanini wazungu hawakuwa wakiyazungumzia hayo mauwaji?Huyo hana akili. He is bitter labda kakatiwa mrija wa asali aliyokuwa ananyonya awamu iliyopita. Halaf hawa Sukuma gang ukiwapinga wanajua matusi tu maana awamu iliyopita walizoea kuua na kuwatesa wapinzani wao na sio kupingana kwa hoja. Kiufupi hawajazoea kupingana kwa nguvu ya hoja wamezoea hoja ya nguvu
Uhuru gani mkuu unauzungumzia? Hebu elezea maisha yako yalikosa vp uhuru tofauti na wengine?Hakika kabisa uhuru wangu ni kitu cha thamani kuliko vyote sasa tupo huru .
Umeme ulikatika asana awamu iliyopita ni vile tu media ziliizimwa uhuru wao.
Ila simshangai sana mtoa mada, awamu iliyopita kuna watu pia waliinjoi, hasa kama una elements ya kanda ya ziwa .
Hizo ni fikra zako.Ila wew faiz mm cyo sukuma gang ila hii serekali ya mam kuna maeneo yamepwayaaa pwaaa ufisadi wa kutisha sana kwenye nchi hii
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watangulizi wa 001, 003,004, 005 walijaribu kupambana na RUSHWA na MAFISADI.Hizo ni fikra zako.
Hakuna Rais aliyeweza kumaliza ufisadi kwa kipindi chake. Si Nyerere, si Mwinyi, si Mkapa, si Kikwete, si Magufuli na usitegemee muujiza kutoka kwa Mama kwa miaka yake miwili.