Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
- Thread starter
-
- #21
Nunua Jenereta
Hatusemi kwamba matatizo hayakuwepo, Lakini tunahitaji kuona nia na malengo thabiti katika kupambana na kuyatatua!Wee ni mshamba sana kwamba matatzo ya meanza bada ya mwendazake..? Mimi naamini alifanya yake akasepa.... ana 40 na 60 kwangu ... Mama anatakiwa atengeneze taasisis imara
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Eleza mfanoMengi umeandika uongo
Sidhani kama akilo yako iko sawa, vipi,kwanza umekula?Bora huyu kuliko huko tulipotoka ilikua jahanamu ile (escape from sobibor)
Pumbavu sana wewe kiumbeWorld economics shakes up! (very common issue)
Were the causes, but we enjoy in freedom we have, hatuishi kama panya buku!
Awali watu wakuwa wanapotea ovyo kama Ben saanane, iliogofya sana.
Mapenzi upofu, Kenya, Rwanda drc kote bidhaa zimepanda bei penye nafuu kidogo zambia tuPumbavu sana wewe kiumbe
Serekali ni lidubwana kubwa sana, na sio atakachofanya rais lazima waziri mkuu akifahamu hasa yale ya mapangoni.Watu ka wewe ndiyo ile isiyotumia akili. Nani kakuambia Ben alipotezwa? Muulize Dj kengeza. Mnataka kutuaminisha ili mwisho wa siku mje mseme eti Rais Samia na yeye alikuwa Makamu wa Rais anajua na yeye hafai.
Ninakiwanda changu hapa cha kufyatua tofari!
Karibu kila siku napata hasara ya mfuko mmoja wa cement mpaka miwili kwa siku...
Maendeleo hayana usanii. Chapeni kazi kwa akili muache kusingizia wafuNaelewa mama ana kazi kubwa ya kuleta ukweli na kurekebisha mambo flani ya kisiasa na kiuchumi yaliyoharibiwa na mtangulizi wake...
Sukuma gang na uzushi.Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania.Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara 5 kwa wiki, Ni kipindi ambacho tumeshuhudia kuibuka watu wanaoitwa chawa...
Chaguo la Mungu linalowatesa wananchi tena masikini kwa tozo? Chaguo la Mungu linalotesa watu kwa migao ya umeme na maji kila kona? Mungu huyuhuyu wa Yakobo au mungu mwingine? Chawa mpuuzi weweSukuma gang na uzushi.
Mmekosa mmekosa tu. Samia ndiye chaguo la Mungu la ukweli, au nalo utabisha?
Kwa miaka 6 habari zilikuwa zinaminywa, umesahau?Miaka miwili ya ushoga
Hatusemi kwamba matatizo hayakuwepo, Lakini tunahitaji kuona nia na malengo thabiti katika kupambana na kuyatatua! Sio wananchi wako gizani kiongozi yupo kwenye ndege kuhudhuria semina ya gesi ya ukaa! Au wanafunzi wanakaa chini, Barabara mbovu hazipitiki lakini kiongozi yupo anasherehekea Birthday au hafla sijui semina tena anawaruhusu watendaji wale kwa urefu wa kamba! NONSENSE!
Wanaoteseka ni sukuma gang pekee, kutoka peponi mchezo? Hivi ndugai yuko wapi siku hizi?Chaguo la Mungu linalowatesa wananchi tena masikini kwa tozo? Chaguo la Mungu linalotesa watu kwa migao ya umeme na maji kila kona? Mungu huyuhuyu wa Yakobo au mungu mwingine? Chawa mpuuzi wewe
Shindana na Mungu basi. Sisi hatuwezi.Kupoteza kiongozi kama Magufuli ni janga wakuu hao wachache wanaopinga wajifikirie mara mbilimbili.
mkuuFreedom in poverty?? Hata sasa watu wanapotea zaidi kwa vifo vinavyotokana na umeme kukatika ghafla huko mahospitalini, wengine wanapotea kwa njaa, wengine kwa hali ngumu ya maisha n.k wewe kama unaishi vyema usizungumzie wengine! Watu wanateseka na migao ya umeme, bei ya vitu kupanda, watu wanashindia mlo mmoja wewe unaongelea huo upuuzi gani? Au hawa wengine sio watu?
unaniambia au unaniuliza?Kwa miaka 6 habari zilikuwa zinaminywa, umesahau?
Shindana na Mungu basi. Sisi hatuwezi.