Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Binafsi mimi na mke wangu mtarajiwa tumefaidika na uongozi wake [emoji847] ameajiri ambapo mwendazake alishindwa kutoa ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa una hoja gani tena?Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na mikakati madhubuti ya kutokomeza maadui wa taifa (umasikini, ujinga na maradhi)? Je, Walau kuna miundombinu ya maana katika level za kimataifa na project kubwa zotakazotiinua kiuchumi zime/zinafanyika? Je, Kuna nia ya dhati ya kudhibiti matumizi na kuziba mianya ya rushwa na kuelekeza nguvu katika matumizi ya maendeleo?
Asilimia kubwa ya watanzania watakupatia jibu moja tu, HAPANA.
Kwa tathmini hii ni wazi kwamba huenda Tanzania tusiifikie safari yetu ya kujikomboa kiuchumi na kuondokana na maradhi na ujinga, Au itatuchukua muda mrefu sana kuweza kuondokana na umasikini.
TakbiiiirHakuna wanaotekwa..
Hakuna wanaopigwa risasi .
Hakuna anekamatwa Kwa kupinga serikali watsap gruop..
Hakuna Kesi ya wamiliki wa JF..
Hakuna mfanyabiashara alieporwa hela..
Hakuna plea bargain...
Hakuna kabila moja kupewa teuzi..
Hakuna upumbavu mwingi...
Miaka miwili ya mafanikio
Mama D.Ni rahisi sana kusema rais Samia hajafanya kitu sababu hujui
Sasa hebu tuambie kwanza wewe hii miaka miwili umefanya nini🤣🤣
Acha ujinga wewe ndiye huoni sisi wananchi wazalendo tunaona. Viva mama Samia vivaNi miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na mikakati madhubuti ya kutokomeza maadui wa taifa (umasikini, ujinga na maradhi)? Je, Walau kuna miundombinu ya maana katika level za kimataifa na project kubwa zotakazotiinua kiuchumi zime/zinafanyika? Je, Kuna nia ya dhati ya kudhibiti matumizi na kuziba mianya ya rushwa na kuelekeza nguvu katika matumizi ya maendeleo?
Asilimia kubwa ya watanzania watakupatia jibu moja tu, HAPANA.
Kwa tathmini hii ni wazi kwamba huenda Tanzania tusiifikie safari yetu ya kujikomboa kiuchumi na kuondokana na maradhi na ujinga, Au itatuchukua muda mrefu sana kuweza kuondokana na umasikini.
Mama D.
Hakuna wanaotekwa..
Hakuna wanaopigwa risasi .
Hakuna anekamatwa Kwa kupinga serikali watsap gruop..
Hakuna Kesi ya wamiliki wa JF..
Hakuna mfanyabiashara alieporwa hela..
Hakuna plea bargain...
Hakuna kabila moja kupewa teuzi..
Hakuna upumbavu mwingi...
Miaka miwili ya mafanikio
Yaani juzi tu Sabaya ameachiwa kwa plea bargaining kwa kukubali makosa ya kuteka, kutesa na kupora wewe uneshasahau?Hakuna wanaotekwa..
Hakuna wanaopigwa risasi .
Hakuna anekamatwa Kwa kupinga serikali watsap gruop..
Hakuna Kesi ya wamiliki wa JF..
Hakuna mfanyabiashara alieporwa hela..
Hakuna plea bargain...
Hakuna kabila moja kupewa teuzi..
Hakuna upumbavu mwingi...
Miaka miwili ya mafanikio
Hili la kula kwa urefu wako nalo kwani sio jamboNi miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na mikakati madhubuti ya kutokomeza maadui wa taifa (umasikini, ujinga na maradhi)? Je, Walau kuna miundombinu ya maana katika level za kimataifa na project kubwa zotakazotiinua kiuchumi zime/zinafanyika? Je, Kuna nia ya dhati ya kudhibiti matumizi na kuziba mianya ya rushwa na kuelekeza nguvu katika matumizi ya maendeleo?
Asilimia kubwa ya watanzania watakupatia jibu moja tu, HAPANA.
Kwa tathmini hii ni wazi kwamba huenda Tanzania tusiifikie safari yetu ya kujikomboa kiuchumi na kuondokana na maradhi na ujinga, Au itatuchukua muda mrefu sana kuweza kuondokana na umasikini.
Kwa miaka uliyonayo saa hivi 25 hiyo unaweza kukuta kuna watu wanakuita baba wengine anko lakini kwenye mada hii nzima we ulichoambulia ni shahawa tu lugha ziko nyingi sasa kuna watu wanaitwa:Majina yote haya yaliyojaa,ukaona Bora ujiite shahawa?
Ni rahisi sana kusema rais Samia hajafanya kitu sababu hujui
Sasa hebu tuambie kwanza wewe hii miaka miwili umefanya nini[emoji1787][emoji1787]
Ila gharama za vibao vinavyomsifia unaweza kujenga madarasa kadhaa huko Ngara
UTAFITI gani uliofanya?.Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na mikakati madhubuti ya kutokomeza maadui wa taifa (umasikini, ujinga na maradhi)? Je, Walau kuna miundombinu ya maana katika level za kimataifa na project kubwa zotakazotiinua kiuchumi zime/zinafanyika? Je, Kuna nia ya dhati ya kudhibiti matumizi na kuziba mianya ya rushwa na kuelekeza nguvu katika matumizi ya maendeleo?
Asilimia kubwa ya watanzania watakupatia jibu moja tu, HAPANA.
Kwa tathmini hii ni wazi kwamba huenda Tanzania tusiifikie safari yetu ya kujikomboa kiuchumi na kuondokana na maradhi na ujinga, Au itatuchukua muda mrefu sana kuweza kuondokana na umasikini.
Hivi kulikua na haja gani ya kujenga sgr mpya dhidi ya kuupgrade au isingewezekana?Yaani ngosha huoni reli ya SGR inayojengwa Mwanza kuja Tabora na Tabora kuja Singida, Singida kuja Dodoma na Dodoma kuja Morogoro?
Alafu Tabora kwenda Kigoma?
Akimalizia ile aliyejenga Mwendazake Dar kwenda Morogoro na Morogoro kwenda Dodoma?
Tuma kwa Mpesa 😃😃😃Gharama za Iftar yako ya leo bill kwangu