darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Ku-up grade pia ingegharimu. Upana wa reli (gauge) uliopo haufanani.Hivi kulikua na haja gani ya kujenga sgr mpya dhidi ya kuupgrade au isingewezekana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ku-up grade pia ingegharimu. Upana wa reli (gauge) uliopo haufanani.Hivi kulikua na haja gani ya kujenga sgr mpya dhidi ya kuupgrade au isingewezekana?
Bussy 4NTNGNi miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na mikakati madhubuti ya kutokomeza maadui wa taifa (umasikini, ujinga na maradhi)? Je, Walau kuna miundombinu ya maana katika level za kimataifa na project kubwa zotakazotiinua kiuchumi zime/zinafanyika? Je, Kuna nia ya dhati ya kudhibiti matumizi na kuziba mianya ya rushwa na kuelekeza nguvu katika matumizi ya maendeleo?
Asilimia kubwa ya watanzania watakupatia jibu moja tu, HAPANA.
Kwa tathmini hii ni wazi kwamba huenda Tanzania tusiifikie safari yetu ya kujikomboa kiuchumi na kuondokana na maradhi na ujinga, Au itatuchukua muda mrefu sana kuweza kuondokana na umasikini.
Bajeti ya 2022/2023 zaidi ya 2.9 trilion ya ujenzi wa barabara, na hakuna hata 1 km ya lami iliyojengwa na hizo pesa zipo wapi? Kweli tuna rais muwajibikaji? Je kweli tuna kiongozi? Je anatufaa kweli huyu? Madudu kibao kila idara na anachukulia poa kazi yake ni kusubiri kuletewa taarifa bila kufatilia, kusafiri nje ila wakati wakati nchi inaliwa, je anapaswa kumlaumu mtu au ajilaumu yeye mwenyewe kwa kuwa mzembe, hana uzalendo na hana uchungu wa hii nchi.Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na mikakati madhubuti ya kutokomeza maadui wa taifa (umasikini, ujinga na maradhi)? Je, Walau kuna miundombinu ya maana katika level za kimataifa na project kubwa zotakazotiinua kiuchumi zime/zinafanyika? Je, Kuna nia ya dhati ya kudhibiti matumizi na kuziba mianya ya rushwa na kuelekeza nguvu katika matumizi ya maendeleo?
Asilimia kubwa ya watanzania watakupatia jibu moja tu, HAPANA.
Kwa tathmini hii ni wazi kwamba huenda Tanzania tusiifikie safari yetu ya kujikomboa kiuchumi na kuondokana na maradhi na ujinga, Au itatuchukua muda mrefu sana kuweza kuondokana na umasikini.
Hii miradi anapatanayotabu wakati walioianzisha waliiacha kwenye asilimia za chini sana,huku wakiwa wameshakula 10% mbuzi hawa,na mahela mengine wameyasweka vijijini kwao na ughaibuni,wanampa wakati mgumu Mama na mikataba mibovu inayokula riba hata kazi hazijaanzaMama amefanya mengi sana amejenga madarasa mengi sana haijawahi kutokea tangu tupate uhuru ,amepandisha madaraja watumishi ,ameleta mariziano ,miradi yote ya kimkakati anaiendeleza, kilimo kimeimarika sana ,ametoa ajira nyingi
Endeleeni kumsifia huku mnamzunguka, nampa pole sana huyu Rais, na akija kumaliza muda wake huyu rais ndio atakuja kudhihakiwa kuliko marais wote waliotangulia.Hakuna wanaotekwa..
Hakuna wanaopigwa risasi .
Hakuna anekamatwa Kwa kupinga serikali watsap gruop..
Hakuna Kesi ya wamiliki wa JF..
Hakuna mfanyabiashara alieporwa hela..
Hakuna plea bargain...
Hakuna kabila moja kupewa teuzi..
Hakuna upumbavu mwingi...
Miaka miwili ya mafanikio
Mama sio mwajibikaji, na sio kiongozi, yeye aendelee kusafiri hivyo hivyo.Hii miradi anapatanayotabu wakati walioianzisha waliiacha kwenye asilimia za chini sana,huku wakiwa wameshakula 10% mbuzi hawa,na mahela mengine wameyasweka vijijini kwao na ughaibuni,wanampa wakati mgumu Mama na mikataba mibovu inayokula riba hata kazi hazijaanza
Huyu mama kwa kweli ametuongezea shida mara 100Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na mikakati madhubuti ya kutokomeza maadui wa taifa (umasikini, ujinga na maradhi)? Je, Walau kuna miundombinu ya maana katika level za kimataifa na project kubwa zotakazotiinua kiuchumi zime/zinafanyika? Je, Kuna nia ya dhati ya kudhibiti matumizi na kuziba mianya ya rushwa na kuelekeza nguvu katika matumizi ya maendeleo?
Asilimia kubwa ya watanzania watakupatia jibu moja tu, HAPANA.
Kwa tathmini hii ni wazi kwamba huenda Tanzania tusiifikie safari yetu ya kujikomboa kiuchumi na kuondokana na maradhi na ujinga, Au itatuchukua muda mrefu sana kuweza kuondokana na umasikini.
Kwa nini naye asile hiyo 90% si ndoo anaongoza nchi kwa raha na mstareheHii miradi anapatanayotabu wakati walioianzisha waliiacha kwenye asilimia za chini sana,huku wakiwa wameshakula 10% mbuzi hawa,na mahela mengine wameyasweka vijijini kwao na ughaibuni,wanampa wakati mgumu Mama na mikataba mibovu inayokula riba hata kazi hazijaanza