Miaka miwili ya Rais Samia, Hakuna jambo la maana linaloonekana!

Bussy 4NTNG
 
Wewe jamaa pimbi sana,wakati unafahamu Mama anamalizia mamiradi yenu ya kifisadi myliyoingia mamikataba ya ajabu ajabu munamtesa bimkubwa kumalizia miradi muliyokula 10%.
 
Bajeti ya 2022/2023 zaidi ya 2.9 trilion ya ujenzi wa barabara, na hakuna hata 1 km ya lami iliyojengwa na hizo pesa zipo wapi? Kweli tuna rais muwajibikaji? Je kweli tuna kiongozi? Je anatufaa kweli huyu? Madudu kibao kila idara na anachukulia poa kazi yake ni kusubiri kuletewa taarifa bila kufatilia, kusafiri nje ila wakati wakati nchi inaliwa, je anapaswa kumlaumu mtu au ajilaumu yeye mwenyewe kwa kuwa mzembe, hana uzalendo na hana uchungu wa hii nchi.
Naunga mkono hoja kwenye hii hawamu ni mwendo wa kuimba taarabu bila kutekeleza miradi.
 
Mama amefanya mengi sana amejenga madarasa mengi sana haijawahi kutokea tangu tupate uhuru ,amepandisha madaraja watumishi ,ameleta mariziano ,miradi yote ya kimkakati anaiendeleza, kilimo kimeimarika sana ,ametoa ajira nyingi
Hii miradi anapatanayotabu wakati walioianzisha waliiacha kwenye asilimia za chini sana,huku wakiwa wameshakula 10% mbuzi hawa,na mahela mengine wameyasweka vijijini kwao na ughaibuni,wanampa wakati mgumu Mama na mikataba mibovu inayokula riba hata kazi hazijaanza
 
Endeleeni kumsifia huku mnamzunguka, nampa pole sana huyu Rais, na akija kumaliza muda wake huyu rais ndio atakuja kudhihakiwa kuliko marais wote waliotangulia.
 
Mama sio mwajibikaji, na sio kiongozi, yeye aendelee kusafiri hivyo hivyo.
 
Huyu mama kwa kweli ametuongezea shida mara 100
Kila mahali kuna shida mawaziri na makatibu wakuu wakuu wa mikoa na wanasiasa ndo wanafaidi na kumsifia huyu mama
Ukianza
1.ufisadi
2.tozo
3.mfumuko wa bei
4.ukame
 
Kwa nini naye asile hiyo 90% si ndoo anaongoza nchi kwa raha na mstarehe
 
Ushashiba kande unaleta zako sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…