Miaka nane bila mtoto kujaribu kwa jirani imo namtaka mwanangu hataki

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
2,028
Reaction score
2,664
Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.

Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka mzima na mimi Kuna dawa nilikuwa naoshea uume nanuia Kabla sijashiriki na mke wangu hatujapata Mtoto nikakata tamaa nikawa namlaumu jirani aliyetupa connection akasema kama siamini nijaribu kwake kimasihara tukafanya mara nne ndani ya miezi miwili akapata mimba Namwambia mwanangu akikua anipe anakataa anasema anaogopa kuvunja ndoa yake nikitaka Mtoto niachane na mke wangu akiachika na yeye aachike tuishi pamoja na Mimi sitaki kumwacha mke wangu nataka mwanangu .

Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake
 
Nimesikitika sana... Kwanini hamjaenda kwa mwamposa?
FB_IMG_17546284631313936.jpg
 
ULIFANYA HAYA KWA MKEO
1.ULIENDA HOSPT KUPIMA WEWE NA YEYE
JIBU....
2.MAJIBU KAMA YALISEMA MZEE UNA MATATIZO

KWA HUYOO MTOTO FANYA HAYAAAAAAA

PIMA DNA HAKO KATOTO MPENDWAAA

NDOA NYINGII ZINALEA WATOTOOO WA WATUUU
 
Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.

Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka mzima na mimi Kuna dawa nilikuwa naoshea uume nanuia Kabla sijashiriki na mke wangu hatujapata Mtoto nikakata tamaa nikawa namlaumu jirani aliyetupa connection akasema kama siamini nijaribu kwake kimasihara tukafanya mara nne ndani ya miezi miwili akapata mimba Namwambia mwanangu akikua anipe anakataa anasema anaogopa kuvunja ndoa yake nikitaka Mtoto niachane na mke wangu akiachika na yeye aachike tuishi pamoja na Mimi sitaki kumwacha mke wangu nataka mwanangu .

Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head 🗣️
 
Pole sana.

Una uhakika kiasi gani kwamba wewe ndiyo ulimpa hiyo mimba?

Nafikiri ni vyema ukabaki kwenye ndoa yako kuliko kuharibu ndoa ya mwenzako.

Kila la kheri.
 
Una uhakika gani kua huyo ni mtoto wako?
Mke wa mtu anakwambia umempa mimba!

Anakwambia aachike kwa mumewe na wewe umuache mkeo ili muoane!
Hii mbona ni kama ya tangawizi tu yenye sukari kwa mbali sana.
 
ACHA ujinga!

Kama umeshajua upo vizuri,Ongeza mke na mkeo.atakuelewa hata Mungu atakuelewa tu coz hayajaanza leo !hata Sara alidiriki kumwambia Ibrahim aingie kwa mjakazi apate mtoto!!

Kodi chumba oa mke jaribu huko!usivunje ndoa ya watu!

Wanaume tuliozaa nje tupo kibao coz anaeamua mimba kutungwa au isitungwe ni mwanamke!!!

KAZI na utu tunasongambele!
 
Back
Top Bottom