hawa wa ivi wanakuwaga vitombi sana. apo ukute ana wake lukuki na watoto kila mtaa😆😆.Pole sana
View attachment 3444083
Huna akiliNina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.
Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka mzima na mimi Kuna dawa nilikuwa naoshea uume nanuia Kabla sijashiriki na mke wangu hatujapata Mtoto nikakata tamaa nikawa namlaumu jirani aliyetupa connection akasema kama siamini nijaribu kwake kimasihara tukafanya mara nne ndani ya miezi miwili akapata mimba Namwambia mwanangu akikua anipe anakataa anasema anaogopa kuvunja ndoa yake nikitaka Mtoto niachane na mke wangu akiachika na yeye aachike tuishi pamoja na Mimi sitaki kumwacha mke wangu nataka mwanangu .
Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake
"Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake"Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.
Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka mzima na mimi Kuna dawa nilikuwa naoshea uume nanuia Kabla sijashiriki na mke wangu hatujapata Mtoto nikakata tamaa nikawa namlaumu jirani aliyetupa connection akasema kama siamini nijaribu kwake kimasihara tukafanya mara nne ndani ya miezi miwili akapata mimba Namwambia mwanangu akikua anipe anakataa anasema anaogopa kuvunja ndoa yake nikitaka Mtoto niachane na mke wangu akiachika na yeye aachike tuishi pamoja na Mimi sitaki kumwacha mke wangu nataka mwanangu .
Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake
Usiwe na haraka subiri kwanza ajifungue mtotoNina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.
Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka mzima na mimi Kuna dawa nilikuwa naoshea uume nanuia Kabla sijashiriki na mke wangu hatujapata Mtoto nikakata tamaa nikawa namlaumu jirani aliyetupa connection akasema kama siamini nijaribu kwake kimasihara tukafanya mara nne ndani ya miezi miwili akapata mimba Namwambia mwanangu akikua anipe anakataa anasema anaogopa kuvunja ndoa yake nikitaka Mtoto niachane na mke wangu akiachika na yeye aachike tuishi pamoja na Mimi sitaki kumwacha mke wangu nataka mwanangu .
Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake
Mkuu mwosha huoshwaaa......Pole sana.
Una uhakika kiasi gani kwamba wewe ndiyo ulimpa hiyo mimba?
Nafikiri ni vyema ukabaki kwenye ndoa yako kuliko kuharibu ndoa ya mwenzako.
Kila la kheri.
Mtume[sionabii] mkeooo akawambie"Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake"
😄😄😄
Tafuta mwanamke ambaye hajaolewa mbona wamejaa tele na huyu mtoto mpotezee kwa sababu ulijua huyo ni mke wa mtu na ukafanya nae uasheratiNina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.