ULIFANYA HAYA KWA MKEONina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.
Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka mzima na mimi Kuna dawa nilikuwa naoshea uume nanuia Kabla sijashiriki na mke wangu hatujapata Mtoto nikakata tamaa nikawa namlaumu jirani aliyetupa connection akasema kama siamini nijaribu kwake kimasihara tukafanya mara nne ndani ya miezi miwili akapata mimba Namwambia mwanangu akikua anipe anakataa anasema anaogopa kuvunja ndoa yake nikitaka Mtoto niachane na mke wangu akiachika na yeye aachike tuishi pamoja na Mimi sitaki kumwacha mke wangu nataka mwanangu .
Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head 🗣️Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.
Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka mzima na mimi Kuna dawa nilikuwa naoshea uume nanuia Kabla sijashiriki na mke wangu hatujapata Mtoto nikakata tamaa nikawa namlaumu jirani aliyetupa connection akasema kama siamini nijaribu kwake kimasihara tukafanya mara nne ndani ya miezi miwili akapata mimba Namwambia mwanangu akikua anipe anakataa anasema anaogopa kuvunja ndoa yake nikitaka Mtoto niachane na mke wangu akiachika na yeye aachike tuishi pamoja na Mimi sitaki kumwacha mke wangu nataka mwanangu .
Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake
Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji.
Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka mzima na mimi Kuna dawa nilikuwa naoshea uume nanuia Kabla sijashiriki na mke wangu hatujapata Mtoto nikakata tamaa nikawa namlaumu jirani aliyetupa connection akasema kama siamini nijaribu kwake kimasihara tukafanya mara nne ndani ya miezi miwili akapata mimba Namwambia mwanangu akikua anipe anakataa anasema anaogopa kuvunja ndoa yake nikitaka Mtoto niachane na mke wangu akiachika na yeye aachike tuishi pamoja na Mimi sitaki kumwacha mke wangu nataka mwanangu .
Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake
Ni sahihi. Muda si mrefu kuna mtu ata trend mitandaoni kwa kunyofolewa dhakari.Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head 🗣️
Mambo ya JF hayo.Una uhakika gani kua huyo ni mtoto wako?
Mke wa mtu anakwambia umempa mimba!
Anakwambia aachike kwa mumewe na wewe umuache mkeo ili muoane!
Hii mbona ni kama ya tangawizi tu yenye sukari kwa mbali sana.