Miaka nane bila mtoto kujaribu kwa jirani imo namtaka mwanangu hataki

Huna akili
 
"Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake"

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Usiwe na haraka subiri kwanza ajifungue mtoto
 
Pole sana.

Una uhakika kiasi gani kwamba wewe ndiyo ulimpa hiyo mimba?

Nafikiri ni vyema ukabaki kwenye ndoa yako kuliko kuharibu ndoa ya mwenzako.

Kila la kheri.
Mkuu mwosha huoshwaaa......
M wakati natafuta wa kiume nilikutana na kabinti ka kiganda nikafwata procedure zote kupi.mana nk....nikajitwalia mtoto.....

Akiwa na mimba nkasikia Bana yake alieachana kafaaaa na pressure uwii...hii kitu hata nikimwona wife wangu anaongea na kakazake nahisii n banayakee loh
 
"Nataka nimwambie Mume wake ukweli watajuana wenyewe wao Wana watoto watatu wanawatosha na mimi nataka wangu kinachonisumbua nawaza nianzie wapi kumueleza Mume wake"

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Mtume[sionabii] mkeooo akawambie

Rahsi sana
 
Tafuta mwanamke ambaye hajaolewa mbona wamejaa tele na huyu mtoto mpotezee kwa sababu ulijua huyo ni mke wa mtu na ukafanya nae uasherati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…