Miaka Tisa (9) ndani ya JF: Kumbukizi nilivyojiunga na kuishi JF nikiwa kama Mwanafunzi wa Sekondari

Kwanini The Mongolian Savage na Maghayo wanakuita nyau??
Na hashtag yao ya nyau de adriz
Jitu zima likifikia stage hii ni wakuonewa huruma tu , huyo jamaa akiwa na Maghayo na The Mongolian Savage wanaunda kikosi hatari Cha Kihuni humu " The Ghayos Gang " kwa vile Mimi ninazo siri zao na nimepanga kuwalipua kwa ushahidi nahisi ndio maana jamaa amekuwa akiniaAttack frequently.

Sasa nimempuuza kitambo simjibu , kumtag Wala kumQoute nasubiri achoke maana atafanya maujinga yake kisha atachoka na kutulia hapo ndipo ataona ' My vicious move ' sasa anasomewa ramani tu.
 
JF ni ya watu wenye akili sio kila mtu anaweza kujiunga JF, wapo watu wengi niliwapa abc lakini hawajashawishika kujoin, wanaona lakini hawaelewi!

mimi nilijaribu kujiunga mwaka 2012 bila mafanikio, nikaendelea kuitumia kama guest, nilichojivunia ni kwamba kila nilichokitafuta ama kukiwaza, tayari kilikuwa kimejadiliwa humu!
JF bado haijapoteza thamani kwakuwa hata hizo nondo mnazozisema bado zipo humu na ninaamini hujazimaliza zote, zimehifadhiwa kwa manufaa ya badae
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa kuanika rika yako si ajabu atakua kaona aibu, bila shaka ni mtu mzima kabisa, atakua na majuto kuandika upuuzi mbele ya wanae.
 
Ahse kwanz picha linaanza kipind hicho nipo Chuo nimewah vzr kipind cha Asubuh maan yule Lecture alikuwa mtabe balaa.
vile sijakaa sawa nakuta Ka display pale Front images ya PC yake kwa projector. kuangalia vzr nakuta ana App ya JamiiForum.

ahse nikawaza hap usikute hata huyu mzee tukiwa kweny Mada zetu pendwa za vijan nae yumo na tunajibizana nae😁😁
 
Hongera kijana upande wangu id yangu ya kwanza ni mwaka 2008 nikiwa form 6..
Then ikapotea nikarudi ten rasmi 2011
 
Kabla kuniomba code ya DLS uwe unanisalimia hahahahhahahaha
 
Dogo' .....umepata bahati kujua mitandao yenye 'ustaarabu' na maarifa mapema. Ama sivyo na wewe ungekuwa unatega camera ya simu unabinua makalio kama wenzako wa miaka 2000.
Kweli kabisa , kipindi nipo O _level nilianya research fupi darasani kati ya wote ambao tulikuwa tunamiliki simu hakuna anayeijua Jf nikaConlude Mimi tu mwana Jf karibia shule nzima tena hapo ni Dar ila Facebook, IG karibia wote walikuwa nazo.

Advance nikajaribu tena darasani kwangu kuuliza nikijifanya siijui wakatokea wengi kidogo kuonyesha wanaifahamu ila walikuwa Wana mitizamo hasi kuhusu Jf na wakasema kuwa ni mtandao wa wazee nisijaribu kujiunga.

Ila sasa nikawa napendwa na Wanafunzi wenzangu ikawa mambo mengi naulizwa Mimi nielezee au nifanye uchambuzi kwa kuniona najua mengi na Niko very deep hata katika masomo ya darasani hadi wakawa wanashangaa nasoma vitabu vipi ambayo wao hawasomi na source za information zangu ni zipo ?
 
Mwaka 2015 upo kidato cha Kwanza, ina maana kama utakuwa ulisoma Masomo ya Sayansi na ukaenda Chuo Kikuu kusoma Engineering, utakuwa unaingia Mwaka wa nne kukamilisha miaka minne ya Engineering πŸ™ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘

Kweli miaka inakimbia, hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…