Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Nimekupata vema mkuu Tena sana tu umeeleweka na nimeongeza kitu pia,Hilo kuhusu gharika wayahudi walikopi kwenye maandiko ya Mesopotamia hasa kutoka katika Epic of Girgameshunachokiandika hapa ninakijua na kwa wakati
fulani nimewai kuwasimulia kitu hiki wana wangu.
nadhani tunapoachania njia ni kuhusu tukio la garika:, sijajua msimamo wako ni upi kuhusu garika "kwako garika ni ngano zilizotungwa na watu tu, ama unakubali garika ni tukio halisi ila sumerian walilisimua kwanza then wayaudi wakalichukua/kuiba na kuliweke katika vitabu vyao?.
iki ndicho kitu pekee ambacho sijakijua toka kwako.
na zaidi:, kuhusu dai la aliens kuanziasha dini ninakubaliana nalo 101%.
mwaka juzi niliwai sikiliza audio moja ya mahojiano ya jamaa mmoja na Dada mmoja kwa maelezo yake huyo dada ana dai ni Allien{kuamini kuwa ni kweli ama si kweli ni baina ya mtu na mtu}.
huyu bidada anaongea mengi sana.
anadai kuwa wao walikuwepo katika hii dunia kabla ya binaadam kuwepo, na wapo hadi leo hii. anadai binadamu ndio wavamizi katika hii dunia.
na hii dunia ili wai kaliwa na Alliens wa aina tofauti tofauti zaidi ya aina 15.
katika hayo maelezo kuna sehemu anaongelea kuhusu dini, anachokiongelea yeye ndicho ulichokiandika hapa.
na zaidi anapinga madai ya wanasayansi wanao dai kwamba Dinosaurs waliuawa na na kimondo. yeye ana dai kwamba:, miaka Milion kadhaa uko nyuma(anaongea kama shuhuda) kulitoka vita ndani ya jamii za Alliens zilizokuwa zikiishi hapa duniani na vita hiyo zilitumika siraha kubwa za nyuklia.
na matokeo ya siraha hizo ndizo ziliua dinosaurs na viumbe wengine wengi(kumbuka Hivi karibuni Gabon wanasayansi waligundua mlipuko wa nyuklia wa miaka million kadhaa iliyopita)
so, madai ya kuwa kimondo kilidondoka na kuua dinosaurs ni uongo bali ni vita ya Alliens ya wao kwa wao.
baada ya vita hiyo Alliens wengine waliondoka na kuelekea sayari zingine ila wao walibaki hapa hadi leo wapo na wanauwezo wa kuchukua umbo la kiumbe yoyote.
ila makazi yao ni hapa,wana dai wao ndio wanyeji wa hii dunia na binadamu wamewakuta hapa.
huyo dada anawaulaum Illojim, illojim waliitembelea hii dunia kwa mara kwanza na wakaumba binadamu(sisi) then illojim wakaondoka kurudi walikotokea.
baada ya miaka maelfu kadhaa wakarudi tena,wakakuta ninabinadamu wameongezeka ila hawamu hii waliporudi walizuia binadamu kushirikiana nasi kwa madai kuwa sisi(jamii ya huyo dada) ni viumbe waovu.
[Ngoja nifupishe story]
then illojim waliondoka na kuahidi kurudi, ila hadi leo ni maelfu ya miaka Hawajarudi tena.
sasa anasema:, katika binadamu kuna mgawanyiko, wapo wanao amini kuwa sisi ni viumbe waovu kama walivyo ambiwa na waumbaji wao(ILLOJIM) na wapo wanatuchukulia kuwa sisi ni viumbe rafiki kama viumbe wengine.
Nb:
Aisee, ninaandika uku nimeshatumia mmea na lager sijui ikiwa ninaeleweka.
very sorry kwa kutoeleweka kwa baadhi ya sentence.
Hayo masimulizi yana utata kidogo maana wengine tuaamini hiyo gaharika ilitokea katika ukanda wa mto Euprates ambapo ndio hizo miji za Accient civilization zilikuwepo so kutokana na kutojua Kwa wayahudi kwamba Dunia kubwa wao wakadhani lile bonde la mto lilipojaa maji na kumeza miji wakajua Dunia nzima ndio imekua flood's!
Halafu nakuunga mkono hiyo vita ya nuclear weapons kupigwa Duniani miaka maelfu nyingi huko nyuma maana hata chanzo cha majangwa tunayoyajua ni hizo vita na ndio maana middle east yote imekua kame sababu ya pale ilikua base ya viumbe wengi na miji mikubwa enzi hizo Hivyo missiles nyingi zilielekezwa pale na kusababisha jangwa,na pia huko Gabon Kuna sehemu iligunduliwa mabaki ya Nuclear reactors ambayo Ina mamillion ya miaka so inawezekana hapa hii Dunia imekaliwa na viumbe wengi kabla yetu na sisi pia ni Alliens wa wa zamu kuikalia ila sio mwisho wa Alliens wengine kuja tokea watakuja na wengine pia labda supanorva itake place!