Miaka ya 2000's nlifungua Internet Cafe. Ndipo nlipoanzia kupiga bingo na kupasua mioyo

Kipindi hiko unatembea na kinotebook kimejaa site umeziandika.
Ukiwa na floppy disk unaogopeka.
Ukidownload MB90 unaweza kuchukua siku nzima
Kufungua page moja kwenye website unafungua unaenda oga, ukirudi unavaa ndo unakuta imefika nusu .ukivaa na kunywa chai ndo inafunguka imekamilika.....
 
Mmmbwa wewe nimecheka sana🤣
 
Kuna watoto sijui watakuwa wanafahamu windows 90 kushuka chini zilikuwa zina install kutumia floppy disk na unaingia moja badala ya moja kabla ya cd.
floppy disk zilikuwa 1-8. kwa corrupt ni kugusa [emoji23]
 
What's way forward sir and what then or what for?let us this to educate our society. You've to make your planet better place to live
 
Ukiwa na email unaonekana bonge la mjanja.
mpaka sasa email yangu ya yahoo ina miaka 24 tokea nifungue kutoka yahoo.
 
Basi miaka hio naenda kuangalia porno internet Cafe akawa anakuja monitor wa Cafe nkaclose window (computer ipo slow basi picha inafutika kutokea juu had anafika pale anakuta mtaaacle na mtinyama ndo vinaishia) nkafukuzwa denti sikurud tn pale
 
Kuna watoto sijui watakuwa wanafahamu windows 90 kushuka chini zilikuwa zina install kutumia floppy disk na unaingia moja badala ya moja kabla ya cd.
floppy disk zilikuwa 1-8. kwa corrupt ni kugusa [emoji23]
Hatari sana usipoitunza Floppy Disk vizuri imekula kwako... Unakuta files zime corrupt.... Windows 90 hatari sana. Na hii kuinstall tulikuwa wataalamu wachache ndo tuna install.... Na matangazo yetu makubwa wajanja wakawa wanapitia humo humo unakuta Tangazo

1. Tunafyatua tofali kwa Computer
2. Tunapiga maandazi kwa Computer

yaani ikawa ili uonekane unafanya biashara kisasa lazima uweke neno kwa Computer.
 
Ze Utamu niliifungua halafu ikaganda na kuzima computer siwezi mara ghafla naona Kuna dada anakuja uelekeo wangu nilisimama nikaziba computer yote hadi apite ndio niendelee
🤣🤣🤣🤣Ilikuwa ina load hapo.....
 
Basi miaka hio naenda kuangalia porno internet Cafe akawa anakuja monitor wa Cafe nkaclose window (computer ipo slow basi picha inafutika kutokea juu had anafika pale anakuta mtaaacle na mtinyama ndo vinaishia) nkafukuzwa denti sikurud tn pale
Zilikuwa slow sana zile computers.... Hatari sana..... Zilikuwa zinaumbu wengi...🤣
 
Ukiwa na computer kwenu basi wazazi wenu walikuwa wafanyakazi walisoma na zufanya vitengo vizuri au waliofika nje.

Nimekumbuka pale sinza na leo panavo fanana,tabata ya majabari ya mpunga na mabibo kisukuru mpaka NIT bado pori na nyani.
Ubungo ilianza kukaliwa kwenda mbele miaka ya 98 kwenda mbele.

Kipindi cha chuo kikuu UDSM ile mitaro inapitisha maji safi barabara kulikuwa na samaki wa rangi.

kila aliyefunga ndoa atapita mlimani ndani kupiga picha.
 
Ukiwa na email unaonekana bonge la mjanja.
mpaka sasa email yangu ya yahoo ina miaka 24 tokea nifungue kutoka yahoo.
Kabisa... Email add zilikuwa kwa wajanja na unahakikisha watu wanaona unayo so hata kwenye gari unaweka karatasi yenye email add yako. Chuo nliwala sana mabinti maaana mimi ndo nlikuwa mtabe tena natumia yahoo.co.uk wanakuja niwafungulie nw niwafundishe kutumia...nlikuwa bonge la mjanja kwao....
 
Mkuu Mimi sijambo kabisa,vipi wewe na familia yako?

Ila Hilo neno sukari linamaanisha nini?
Hilo neno sukari...uliwahi kunipa chai nimekurudishia kikombe mkuu.

Hatujambo mkuu..
Niko jf kuangaza watoto wazuri🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…