Miaka ya 2000's nlifungua Internet Cafe. Ndipo nlipoanzia kupiga bingo na kupasua mioyo

Miaka ya 2000's nlifungua Internet Cafe. Ndipo nlipoanzia kupiga bingo na kupasua mioyo

Umenikumbusha ndugu yangu mmoja ni marehemu Sasa.....alikuwa anaishi maisha ya kipedeshee kwa kuuza CD za ngono......alikuwa anaheshimika Sana Kwa wateja wake.... alikuwa anawauzia mpaka wabunge na mawaziri.......
🤣🤣🤣🤣Aiseeee.....i wish angekuwepo atupe uzoefu wake....ndo maana wabunge wakiwa bungeni wengi wanawaza hayo madude.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseeee.....i wish angekuwepo atupe uzoefu wake....ndo maana wabunge wakiwa bungeni wengi wanawaza hayo madude.

Cd na VHS za porno zilikuwa zinauzwa bei sana na kila nyumba ya mkubwa lazima ukute ila kama hana familia ila akiwa na familia zipo chumbani kwake na Tv yake.
 
Cd na VHS za porno zilikuwa zinauzwa bei sana na kila nyumba ya mkubwa lazima ukute ila kama hana familia ila akiwa na familia zipo chumbani kwake na Tv yake.
Na night kali tulikuwa tunangoja kucheki movie zenye nudity kwenye channel e ya south Africa.
VHS pekee nayoikumbuka ya xxx ni Charlie's Angels[emoji1][emoji1]
 
Wadau wa pilau walikuwa wakiingia cafe hawataki computer za mwanzoni!! Utakuta mtu anaenda kujificha mwishoni kabisa ili acheki porns..ukipita unaona mtu katoa macho, jicho jekundu kama kala weed kumbe anacheki pilau. Hadi wamama walikuwa wanalipa kucheki porns
 
Miaka 90 benzi beach yote,mwenge,tegeta,kimara,tabata,kigamboni,mbagara na airpot ni shamba
Nakumbuka miaka ya 90 ile tabata baracuda yote ni porini dadeki...kinyerezi ni shambani kabisa!! Yaani ukivuka tabata relini tu pale ukipandisha mbele huko ni shambani ,viwanja vya kumwaga ila watu walikuwa hawataki kwenda kuishi.
 
Nimbuzz
Hi5
Waptrick
MSN.com
skype

Floppy disk
Walkman sony CD

Maisha haya yana kwenda kasi kipindi hiko uwezi kuangalia Video kwenye internet kama ujaweka Flashplayer soft.

Kompyuta za zamani zilisumbua driver kama sound na graphic.
Walk man cd sony mkuu umenikumbush mbali
 
Kwa mlioluwa na café enzi hizo Kongole kwenu[emoji123] Mm nlkua nafanya Cafe 1 Somewhere Town You Know! Kuna mzee mmoja alkuwa anakuja kucheck P0rn anakaa more than 2 hr sasa na mm ndio nlkua Server Controll namchekibtu sites anazoperuz asee ilkua ni balaa Sema saiv namm niko napiga mishe zangu kama sio uzembe ningekuwa na Nyumba 5 saiv ukiacha zile za Kivule,Magomeni na Mw/nyamala anyway kagari ninacho cha Kuzugia too japo ka-Toyota Harrier[emoji1787][emoji16]

Weyee! Hebu tusiaibishane hapa! Shukuru hizi ID’s hatujuani humu la sivyo tungefikishana mbali! Nimo humu na ulivyoelezea tu nikajua unanisema mimi! Lakini hata tukikutana barabarani huwezi kunitambua kwa sasa!
 
Umenikumbusha myaka hiyo nilimiliki desktop pekee kitaani.
Basi masela walikuwa hawakauki magetoni kipindi hicho nina ots turntable ma dj wa uswazi hawakauki achana na wale wanakuja kucheza need for speed.
 
Cd na VHS za porno zilikuwa zinauzwa bei sana na kila nyumba ya mkubwa lazima ukute ila kama hana familia ila akiwa na familia zipo chumbani kwake na Tv yake.

Zingine walikuwa wanauza feki! Mimi niliwahi kununua moja pale Sinza mtaa wa Gaza nikiwa nakata kinywaji! Ganda au cover ambamo CD iliwekwa ndani, ilikuwa inaonesha mapicha mengi watu wakichapana NDIZI! Nilipokwenda ku-play kwenye computer nikakuta ni picha za wanyama mbalimbali ingawa wengine kama tembo walikuwa wamepandana na mkonga umezama, maji ya jike yana mwagika utadhani mtu kamwaga ndoo ya maji!
 
Wadau wa pilau walikuwa wakiingia cafe hawataki computer za mwanzoni!! Utakuta mtu anaenda kujificha mwishoni kabisa ili acheki porns..ukipita unaona mtu katoa macho, jicho jekundu kama kala weed kumbe anacheki pilau. Hadi wamama walikuwa wanalipa kucheki porns

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] Na tulikuwa tunapenda cafe ambazo kila mmoja alikuwa anajifungia kwenye kachumba kake, siyo computer za darasa la wazi ambalo kila mtu akipita anaona unachoperuzi au kuangalia!
 
🤣🤣🤣🤣Aiseeee.....i wish angekuwepo atupe uzoefu wake....ndo maana wabunge wakiwa bungeni wengi wanawaza hayo madude.
Alikuwa anapata hela nyingi sana..... imagine VCD alikuwa anauza mpaka 80,000/= na zile alizokuwa anasema ni za kibongo( akimaanisha za kiTanzania) aliuza mpaka 100,000/=.......alikufa na ugonjwa wa kisasa baada ya miaka kadhaa ya starehe na kujirusha..... kwenye kumbi za starehe na wanawake mbali mbali
 
Yeaaah.....upo sahihi ilikuwa maarufu sana miaka hiyo ya 2000s hadi mwishoni jamaa yangu akaja akakamatwa aliyekuwa anendesha ule mtandao. Namfahamu vizuri sana yule bwege.
Hiyo ilikuwa ni 2009.
Malechelor Pitta Lucinday
 
Back
Top Bottom