Niliwahi kuwaambia watu ubunifu wetu umekwama mahali,hata ukiangalia shule za serikali zinazoanzishwa sasa hivi na za zamani,za zamani bado zinabaki kuwa shule bora. Viwanda vya zamani tumeua,tunaanzisha mambo kuendeleza hatuwezi mfano mradi wa mabasi ya mwendokasi.Naamini kuna tatizo kubwa kwenye mifumo yetu ya elimu,hatutoi products zenye tija katika maisha yetu ya kila siku.Sisi tulishaanza kuendeleaa anagalu kuanzia 1990s ndio tukaanza tena kurudi nyuma..
Kuna vitu vingi sana tulishakua navyo vikafa, viwanda vingi mno vimekufa.
Aliyekudanganya kwamba China iliendelea Kwa ujamaa ni nani?China ni ya pili kwa uchumi mkubwa.
Tatizo sio ujamaa au upepari. Nchi nyingi sio wajamaa ila wanayumba.
Suluhu ni kuwa na viongozi wanaoyataka maendeleo, sio wanaotaka makofi jukwaani, sio wanaotaka sifa,sio wezi.
Mamiloni ya Watanzania yanapotelea mikononi mwa wachache.
Kumbe unatoa maekezo huko!!!!.....Aliyekudanganya kwamba China iliendelea Kwa ujamaa ni nani?
🤣🤣Mkuu usipotoshe watu, hatukuwa sawa na S.Korea kipind cha miaka ya 65, ujue kipindi hicho S.Korea kina Samsung tayari wanatengeza Computer, TV na vitu vingine, wakati huo sisi huku Tanzania tunauziana vitu kwa zamu kwenye maduka ya ushirika
Mapinduzi yapi Mzee? Acha porojo zisizo na msingiKumbe unatoa maekezo huko!!!!.....
Hujui historia ya 🇨🇳 na mapinduzi ya uchumi baada ya Mwenyekiti Mao.
Kwaheri...
Huna unalojua zaidi ya ushabiki. Unadhani njia kuu za uchumi wa china ni za magharibi? Umekaririshwa.Mapinduzi yapi Mzee? Acha porojo zisizo na msingi
Wewe kichwa maji unajua nini hasa?Huna unalojua zaidi ya ushabiki. Unadhani njia kuu za uchumi wa china ni za magharibi? Umekaririshwa.
Mapinduzi au mageuzi yote sawa.Mapinduzi yapi Mzee? Acha porojo zisizo na msingi
Kampeni yako imebuma!!Wewe kichwa maji unajua nini hasa?
Vipi kuhusu mabepari wa Kenya wamepiga hatua gani?Ukishakuwa na mentality za Kijamaa unaogopa wawekezaji huwezi endelea kamwe,ni Hadi uondokane na hizo fikra za kimaskini na za hovyo.
Mhuni huyo hawezi kujibu hiloVipi kuhusu mabepari wa Kenya wamepiga hatua gani?
kinachowaCost wakorea ni kile Chama Chao!
Tanzania na Kenya zinalingana Kwa lipi?Vipi kuhusu mabepari wa Kenya wamepiga hatua gani?
Kwani zinatofautiana kwa lipi?Tanzania na Kenya zinalingana Kwa lipi?
Soma China ya Deng Xiaoping 1978 1989 na mageuzi ya uchumi. ACHA USHAMBAWewe kichwa maji unajua nini hasa?