balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
China iliupata maendeleo baada ya kuvunja minyororo ya ukomunist .Kazi hii aliifanya mheshimiwa Deng Xiaoping.Kuna baadhi y miradi ilihali mikononi mwa serikali .Aliyekudanganya kwamba China iliendelea Kwa ujamaa ni nani?
Ukifuatilia history ya China, Korea na India ambazo watu wanadai tulikuwa nazo sawa kipind tunapata uhuru utakuja gundua ni uongo sanaaa,
Tuone picha za KoreaLeo asubuhi nilikuwa naangalia tv moja ya Korea kusini nilishangazwa na maendeleo hafifu ya hawa jamaa na nilipoangalia historia nikakuta kumbe miaka ya Uhuru tulikuwa karibu sawa.
Wakati Tanzania tumepiga hatua kubwa kiasi hiki wao bado wamelala usingizi mzito.
Sisi tunatengeneza Magari, electronics, kilimo uhakika wao bado wanajivuta.
Wataalamu wa uchumi,shida ni Nini kwa hawa ndugu zetu?
Kenya ni moja ya wawekezaji wakubwa Tanzania na Bado Tanzania inaitegemea Kenya kwa bidhaa za viwandani.Kenya iko mbali kuliko TanzaniaTanzania na Kenya zinalingana Kwa lipi?
Siku ukijua kuwa shida si viongozi bali jamii nzima utakuwa na amani.Sio kweli, hatujapata viongozi wenye nia ya kweli. na uzalendo wa kweli.
Mpaka sasa bado.Ukifuatilia history ya China, Korea na India ambazo watu wanadai tulikuwa nazo sawa kipind tunapata uhuru utakuja gundua ni uongo sanaaa,
Wakati tunapata uhuru kina TATA india washakuwa wakubwa sanaaaa, China kwenyewe walikuwa na makampuni makubwa sana, ila Tz bado suala la elimu tu na Afya tulikuwa hatuna,
Ni viongoza mkuu...Siku ukijua kuwa shida si viongozi bali jamii nzima utakuwa na amani.
Akina nchemba, kubudi si mali ya nje kwamba tuliwai-import ili waje watawale bali wametoka mtaani kwetu. Wana akisi vile tulivyo.
Mkuu, inaelekea hujamwelewa mtoa mada! Au wewe hukuangalia taarifa ya habari?Unachanganya mambo, miaka hiyo ilikuwa ni English monarchy kwa hiyo ni english monarchy ndiyo iliyokuwa sawa au zaidi ya Korea lkn siyo sisi, sisi hatujawahi kuwa sawa au kumzidi yoyote yule kiuchumi, …
Mkuu, inaelekea hujamwelewa mtoa mada! Au wewe hukuangalia taarifa ya habari?Unachanganya mambo, miaka hiyo ilikuwa ni English monarchy kwa hiyo ni english monarchy ndiyo iliyokuwa sawa au zaidi ya Korea lkn siyo sisi, sisi hatujawahi kuwa sawa au kumzidi yoyote yule kiuchumi, …
Hao viongozi uwa tunawaagiza kutoka nje ama ni hawa hawa tuliokua nao mtaani?.Ni viongoza mkuu...
NI VIONGOZI.
Wasome Singapore, ni kiongozi alieamua nchi isonge mbele na ikasonga...
Mungu akulipe na akubariki 🙏🤲Ukiacha elimu yetu duni ambayo haizalishi watu wengi wenye weledi wa kutosha pia tuna sera mbovu za kiuchumi.
Uongozi mbovu usiozingatia utawala thabiti wa sheria ambao haulindi haki za wananchi na kuwawezesha wawekezaji. Tanzania tuna utawala dhaifu ambao umewezesha ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji.
5. Watu wake wengi hawana exposure na mambo ya mataifa mengine. Katika ukanda wake, inaweza ikawa ndiyo nchi inayoongoza kwa watu wake kutokwenda nchi zingine. Hata utoaji tu wa passport ni nongwa haswa. Hawatoi passport mpaka kusudi la safari lithibitishwe. Wakati mwingine, huweza kutakiwa hata kuonesha tiketi ya ndege kabla ya kupewa passport.
Haujasahau tu!🤣🤣🤣1: forced labour
2: land alienation
3: tribal wars
4: lack of capital
5: poor education
Tusubili viongozi wachawiwachawi wafeWakorea hawawezi kuendelea mpaka wanaenda Motoni ni sawa na yule mtoto alieachiwa mali za urithi harafu ni Mjinga atabaki kuuza uza hovyo ili apate mademu tuu ndio jinsi ilivyo hiyo Korea Kusini..
Sio leo hata vizazi vyetu vitapata tabu maana Mali zote tunagawa kwa Wahuni huku wazee wa mjengoni wakibaliki...Tusubili viongozi wachawiwachawi wafe