LGE2024 Mianya ya udanganyifu ilivyotawala zoezi la uandikishaji

LGE2024 Mianya ya udanganyifu ilivyotawala zoezi la uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
😁😁😁😁

IMG-20241017-WA0001.jpg
 
Hawa mtu na mkwewe utakuta kila muda wa ibada ukifika wanafanya ibada na cha kusikitisha zaidi kila inapokuwepo hafla ya kiserikali viongozi wetu wa dini wanawaombea dua waendelee kutawala! Siku ya maadhimisho ya kifo cha Mwalimu Nyerere pale CCM Kirumba nimemsikia Sheikh wa mkoa akisema anaomba CCM iendelee kutawala na viongozi wa upinzani waendelee kutoa ushauri,Inasikitisha sana.
 
Huu ni mwanya mwingine kwa CCM kuhujumu uchaguzi na kuendelea kukaa madarakani milele!
 
Tuache malalamiko, au tujiandikishe au tuache ili washinde lakini hiki mnachokifanya ni ujuha uliopitiliza
 
Hawa mtu na mkwewe utakuta kila muda wa ibada ukifika wanafanya ibada na cha kusikitisha zaidi kila inapokuwepo hafla ya kiserikali viongozi wetu wa dini wanawaombea dua waendelee kutawala! Siku ya kuadhimisha kifo cha Mwalimu Nyerere pale CCM Kirumba nimemsikia Sheikh wa mkoa akisema anaomba CCM iendelee kuongoza na viongozi wa upinzani waendelee kutoa ushauri,Inasikitisha sana.
Sasa viongozi WA namna hiyo njaa si zinawasumbua tu, Lod have Mess πŸ˜ƒ
 
Huu ni mwanya mwingine kwa CCM kuhujumu uchaguzi na kuendelea kukaa madarakani milele!
At the end of the Day unasema uwaache tu watajuana na Mungu siku ya mwisho, maana tunachoka😞😞😞
 
Masahihisho. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ulioshafanyika na uliishamalizika. Sasa hivi kuna Uandikishaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na kila Mtaa una kituo kimoja tu. Wana Mtaa tunajuana ndio maana hakuna mbwembwe nyingi.
 
Mimi nilienda na bint yangu kuandikiswa lengo tupate Ile Kadi ngumu, nikashangaa tunaandikishwa tu kwenye daftari biashara kwisha.
Hakuna kupiga picha Wala biometric nimebaki hoi !!!
Ndio usha piga kura hivyo, kuwaunga mkono CCM waendelee kudidimiza nchi yetu.
 
Huu ni uchaguzi wa kiini macho wa mtu na mkwewe

Yaani, kweli sisi kama nchi tumeshuka kiwango hadi kufikia hapa!

Hata huko CCM kwenyewe, kweli hakuna watu wanaojiuliza kwa nini nchi yetu iwe namna hii? Hakuna wa kuhoji, mradi maslahi yao yanapatikana. Viongozi wote, walioko CCM; hadi wastaafu hawaoni dosari kabisa?
 
Back
Top Bottom