- Thread starter
- #41
Heee hii ni maajabuMasahihisho. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ulioshafanyika na uliishamalizika. Sasa hivi kuna Uandikishaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na kila Mtaa una kituo kimoja tu. Wana Mtaa tunajuana ndio maana hakuna mbwembwe nyingi.