Yaani, kweli sisi kama nchi tumeshuka kiwango hadi kufikia hapa!
Hata huko CCM kwenyewe, kweli hakuna watu wanaojiuliza kwa nini nchi yetu iwe namna hii? Hakuna wa kuhoji, mradi maslahi yao yanapatikana. Viongozi wote, walioko CCM; hadi wastaafu hawaoni dosari kabisa?