Michae Maluwe kumbe na wewe hujui Kingereza?

Michae Maluwe kumbe na wewe hujui Kingereza?

Captain Michael Maluwe sioni sababu ya kumponda as long as Kocha alilielewa swali mbona Wazungu huwa wanaongea kiswahili cha kuchekesha hatuwajaji ?
Alieleweka ila makosa hayo kwa mtu kama yeye ni aibu,hata mtoto wa primary hawezi kukosea kama alivyokoses,pata picha mtoto wake anaangalia TV
 
Mechi ya KenGold inaisha
Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu
""You create the chance.......
Badala ya ''you created some chances.....

Kweli lugha ngumu

Una Mawazo Kama Majirani zetu Wakenya.....!

Inaitwa assimilation..! Wenyewe wanatuona WaTz tuko nyuuuuma eti hatujui Kiingereza...teh teh..!

Sasa Nenda Kwa Wenye kujiamini na Lugha zao kama India,China n.k ..Hawa hawashobokei Lugha za Watu..!

Ifike Mahali tujiamini na Lugha zetu.
 
Basi tufanye somo la English lifutwe tu mashuleni.
Mbona watoto wetu wanaosoma english medium hawakosei ovyo,sisi kizazi cha rika fulani kuna shida tusijipe moyo.kujua kugha hasa English ni jambo jema na hakiepukiki.uliona juzi Tulia Ackson akiwafokea wazungu jwa English moaka raha,sasa angewafokea kwa kiswahili ujumbe wake ungefika ukiwa hauna nguvu
 
Back
Top Bottom