Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Tamasha la Michezo ITV,,kila jumapili Saa nane MchanaHuyu Michael Maluwe wa zamani Sana. Nilianza kumuona anatangaza kipindi Cha michezo ITV 1999/2000 miaka Kama 24 iliyopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamasha la Michezo ITV,,kila jumapili Saa nane MchanaHuyu Michael Maluwe wa zamani Sana. Nilianza kumuona anatangaza kipindi Cha michezo ITV 1999/2000 miaka Kama 24 iliyopita
Unawezaje kujiamini na lugha ya kimaskini kama kiswahili? Hii lugha ni ya humuhumu tu.. ukivuka tu Nakonde border haina maana.Una Mawazo Kama Majirani zetu Wakenya.....!
Inaitwa assimilation..! Wenyewe wanatuona WaTz tuko nyuuuuma eti hatujui Kiingereza...teh teh..!
Sasa Nenda Kwa Wenye kujiamini na Lugha zao kama India,China n.k ..Hawa hawashobokei Lugha za Watu..!
Ifike Mahali tujiamini na Lugha zetu.
Manyapala = ManyaparaSasa hapo unashangaa nini? Kwani kiingreza ni lugha yake? Kwani muingreza akikosea kiswahili naye utamcheka? Wakati wa ukoloni kulikuwa na watu wanaitwa manyapala, walikuwa wakijua kuongea kiingreza hata cha kuombea maji wakajiona wazungu wakatumika na wazungu kunyanyasa wasiojua kizungu! Naona na wewe uanajiona mzungu kwa kujua kizungu! Pole sana kwa utumwa huo!!!
Kwani lazima uongee kama wazungu!!?Mechi ya KenGold inaisha
Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu
""You create the chance.......
Badala ya ''you created some chances.....
Kweli lugha ngumu
Hivi ni mchaga wa wapi tena?Mechi ya KenGold inaisha
Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu
""You create the chance.......
Badala ya ''you created some chances.....
Kweli lugha ngumu
KabisaNimeshawahi kuwa na demu wa kizungu alikuwa ana enjoy sana broken ingilishi yangu nashangaa wewe mswahili unajifanya much know kupitiliza
Toa maelezo yote ili ueleweke vizuri ni nini kinaongelewa baina ya wahusika. Unaonaje kwa ambayo angeanza na 'did you...?' hiyo ndio ingeonesha ni swali.Mechi ya KenGold inaisha
Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu
""You create the chance.......
Badala ya ''you created some chances.....
Kweli lugha ngumu
Did you?hapo haiitajiki maana football ni mchezo wa wazi kila mtu kaona walivyo create some chances ila wakashindwa kuzitimiaToa maelezo yote ili ueleweke vizuri ni nini kinaongelewa baina ya wahusika. Unaonaje kwa ambayo angeanza na 'did you...?' hiyo ndio ingeonesha ni swali.