SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Angewafokea kwa kiswahili wangedhani anawarushia majini. Kawachamba kwa lugha yao, ikabidi wabaki wapole tu.Basi tufanye somo la English lifutwe tu mashuleni.
Mbona watoto wetu wanaosoma english medium hawakosei ovyo,sisi kizazi cha rika fulani kuna shida tusijipe moyo.kujua kugha hasa English ni jambo jema na hakiepukiki.uliona juzi Tulia Ackson akiwafokea wazungu jwa English moaka raha,sasa angewafokea kwa kiswahili ujumbe wake ungefika ukiwa hauna nguvu
Kujua lugha kama Kingreza ni muhimu sana, tena ukijue vile inavyopaswa, siyo ili useme sentensi mpaka ulitoe neno kwa kiswahili ulipeleke kwa kilugha chenu halafu ndo uanze kutafuta neno mbadala la kingreza lilipo.