Angeongea kiswahili tu,ulimbukeni ni kujifanya unajua kitu kumbe hujuiHuu ni ulimbukeni wetu tu, wenzetu wanaamini katika lugja yako ya kwanza/lugha mama. Angekosea Kiswahili kama lugha yake ya kwanza ningeelewa vyema. Kingereza kama lugha ya pili siyo suala la kutengenezea ujumbe wa kumsimanga mtu kwani kujua lugha husika si kuwa maarifa husika kwenye fani.
Hata hiyo uliyotoa wewe wajuvi wa mambo wanaweza kutohoa ukajikuta bado uko mbali na ukweli.
Kama alikuwa na mkalimani na akafanya hivyo, hapo nakubaliana na wewe.Angeongea kiswahili tu,ulimbukeni ni kujifanya unajua kitu kumbe hujui
Wamaasai ndio wamewekewa bango hilo 😄SPEAK ENGLISH ALWAYS "mabango haya yapo chamakweza secondari, chalinze" ANGEENDA HAPO AKAJFUNZE
Hao sio lugha tu hata utamaduni wa kigeni hawataki lakini sisi waafrika ndio wa kupapatikia tamaduni za kigeni labda kuliko hata wenye tamaduni zenyewe. Waafrika bure kabisa.Una Mawazo Kama Majirani zetu Wakenya.....!
Inaitwa assimilation..! Wenyewe wanatuona WaTz tuko nyuuuuma eti hatujui Kiingereza...teh teh..!
Sasa Nenda Kwa Wenye kujiamini na Lugha zao kama India,China n.k ..Hawa hawashobokei Lugha za Watu..!
Ifike Mahali tujiamini na Lugha zetu.
Kwan wazungu wanajua au hawakosei kiswahili wacheni upumbavuCaptain Michael Maluwe sioni sababu ya kumponda as long as Kocha alilielewa swali mbona Wazungu huwa wanaongea kiswahili cha kuchekesha hatuwajaji ?
Mbna mnaabudu sana kiingereza... hizo grammar error mnazikomaliaaaa... kweli ukoloni mambo leoooo hautaishiMechi ya KenGold inaisha
Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu
""You create the chance.......
Badala ya ''you created some chances.....
Kweli lugha ngumu
Hujaelewa hata nimeongea niniMalawi wanaongea english nzuri sana
Zimbabwe & BotswanaSio kweli kuna nchi humu humu Africa wanaongea English safi kabisa
Sasa hapo unashangaa nini? Kwani kiingreza ni lugha yake? Kwani muingreza akikosea kiswahili naye utamcheka? Wakati wa ukoloni kulikuwa na watu wanaitwa manyapala, walikuwa wakijua kuongea kiingreza hata cha kuombea maji wakajiona wazungu wakatumika na wazungu kunyanyasa wasiojua kizungu! Naona na wewe uanajiona mzungu kwa kujua kizungu! Pole sana kwa utumwa huo!!!Mechi ya KenGold inaisha
Mtangazaji Michael Maluwe anamuuliza kocha mzungu
""You create the chance.......
Badala ya ''you created some chances.....
Kweli lugha ngumu
Angeongea kiswahili,acheni kutetea ujingaSasa hapo unashangaa nini? Kwani kiingreza ni lugha yake? Kwani muingreza akikosea kiswahili naye utamcheka? Wakati wa ukoloni kulikuwa na watu wanaitwa manyapala, walikuwa wakijua kuongea kiingreza hata cha kuombea maji wakajiona wazungu wakatumika na wazungu kunyanyasa wasiojua kizungu! Naona na wewe uanajiona mzungu kwa kujua kizungu! Pole sana kwa utumwa huo!!!
Ujinga hapo ni upi? Kutokujua kiingreza au kutokuongea kiswahili?Angeongea kiswahili,acheni kutetea ujinga
Alikuwa ananikera kipindi hicho, kila kipindi zaidi ya nusu ni basketball tuHuyu Michael Maluwe wa zamani Sana. Nilianza kumuona anatangaza kipindi Cha michezo ITV 1999/2000 miaka Kama 24 iliyopita
Uko sahihi wa zamani sana jamaa