White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
mwandishi wa hii makala lazima ni uvccmKwani kosa liko wapi? Nyambafu
Ni kifungu gani cha katiba ya Jamuhuri kinachoeleza hayo? Au mira za kabila la rais husika ndiyo mwongozo?Huwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
Huyo rais Na serikali yake hawaifikii budget ya Michael Jackson. Rais ndio alitakiwa kumheshimu Wacko JackoHuwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
Kule ku slide slide kwenye cement hakumwachi mtu salama lazima sore za viatu zichakae.Kiatu cha michael kimechakaa soli, inaonekana alikuwa si mpenzi wa magari
Huenda Dar kulikua na mvua siku hiyo hivyo akakanyaga matope au aliekua zamu ya usafi alifanya kwa kulipuaKiatu cha michael kimechakaa soli, inaonekana alikuwa si mpenzi wa magari
Wapi imeaandikwa kuwa mkubwa sharti amuamkie mdogo? Ni kanuni na taratibu tu ndugu[emoji23]imeandikwa wapi hiyo?
Acha Urongo Michael kaja kitambo sana Bongo enzi za Mwinyi na huo Wimbo ni Miaka ya Mkapa nadhani MwishoniAlikuja kurekodi nyimbo ya kuhusu mazingira.aliichezea ngorongoro na serengeti!..
hayati mj
Kwa uchezaji ule kiatu kitasalimika kweli?Kiatu cha michael kimechakaa soli, inaonekana alikuwa si mpenzi wa magari