Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

Michael Jackson Alimdharau Mzee Mwinyi, Alijiachia Ka Baba ake

Kwa yeye usishangae hata angesimama kwny sofa na viatu,alikuwa na mambo ya kitoto ndo maana akajenga neverland,alijikubali kua ni peter pan ,a boy who never grew up
 
Huwezi kuongea na Rais umeweka miguu juu juu namna hiyo.Ni kukosa nidhamu
Ni kifungu gani cha katiba ya Jamuhuri kinachoeleza hayo? Au mira za kabila la rais husika ndiyo mwongozo?
 
Kiatu cha michael kimechakaa soli, inaonekana alikuwa si mpenzi wa magari
Huenda Dar kulikua na mvua siku hiyo hivyo akakanyaga matope au aliekua zamu ya usafi alifanya kwa kulipua
 
Alikuja kurekodi nyimbo ya kuhusu mazingira.aliichezea ngorongoro na serengeti!..
Acha Urongo Michael kaja kitambo sana Bongo enzi za Mwinyi na huo Wimbo ni Miaka ya Mkapa nadhani Mwishoni
 
hapo ni wapi maana hilo sifa na hvyo vitambaa ...sijui
 
kwa kochi hilo lililokuepo ikulu acha aweke miguu juu huna kosa michael
 
hata angelala kabisa huyo Bwana MJ nampenda sana he was so blessed
 
Back
Top Bottom