Michael Jackson special thread....

Baada ya Robert Nesta Marley nadhani anafatia huyu kwa ubora.
ubora kwenye nini.

Mj kumbuka ndiye alichukua tuzo ya artist of the century mbele ya kina Bob na na wengineo
 
ubora kwenye nini.

Mj kumbuka ndiye alichukua tuzo ya artist of the century mbele ya kina Bob na na wengineo
Hizo ni siasa tuu..Bob anakaribia level za manabii. Kwa mashairi yake mazito ametatua shida/vita na kupatia hamasa wanyonge wengi duniani. Tafuta lile tukio la Michael Manley na Edward Seaga wale mahasimu wakuu wa kisiasa Jamaica alivyowapatanisha nchi ikatulia, nchi ilikuwa iingie vitani.
 
usinilize please.."" mwaka 2009 ulikuwa mgumu sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha huyo genius ....""" gone too soon Mj
 
Mpaka sasa sijaona msanii aliye na kipaji cha uimbaji kumfikia Michael Jackson, jamaa alikuwa na kipaji, nyota, mbunifu na kila kitu ambacho msanii alipaswa kuwa navyo.

Jamaa alisukwa haswa na Masonic, alisukwa kisawasawa, yaani alisukwa haswaaaaaaaa.
 
Bhado Ngoma Inaitwa "In The Closet" Ina Sound Effect Flani Lazima Udate. Hawa Bongo Flavor Mziki Wao Sijui Wanafanya Kwa Njaa. Ukiipenda Kazi Kama MJ Plus Uwe Creative Lazima Utoboe.
Mkuu kule music industry yao ...imejaa ma engineer wa music...hawafanyi tu "" vichochoroni...watu wameweka investment ya kutosha.... hebu angalia behind the scene ya black or white ..au ghost
 
Baada ya Robert Nesta Marley nadhani anafatia huyu kwa ubora.
acha masihara...na muheshimu Bob ...kutokana na nyimbo zake za " kuwahamasisha watu"" wapate kujitambua.. especially Africa...but kwa Mj naomba asubiri aiseee"""
 
Naaam Jamaa alisukwa "" alisukwa haswaaa...sijui walimpeleka kuzimu ..maana ule mvuto aliokuwaga nao "" OMG sio mchezo ..lile ni balaa""
 
hahaa ..mkuu weee acha tu ..kama unavyojua huyu Jamaa alinifanya niwe na kichaa cha mahaba dhidi Yke "" kwakweli anaishi moyoni....


gone too soon MJ
Angekuwa hai ningemwomba akupe mwanae umuoe
 
wale walioimba nyuma yake kwenye man in the mirror hela waliyopewa waliiteendea haki kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…