Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Ilikua Mida ya saa Tisa baada ya saa nane kupita
Nko Geto nacheki picha movie Kali ya Lupita
Mara simu ikaita nkacheki Nani anapiga
Kumbe rose binti mpole kwenye kwaya ya kanisa
Daily hufanya visa eti kisa nilimtongoza
Anasema hataki kabisa mapenzi yashamponza
Anakumbuka alivokonda
Bado ajapona kidonda
Penzi la nguvu ya soda
Utapeli lengo ni uroda
Hataki tena kusikia mapenzi labda iwe ndoa
Hayafichiki ni kama kikohozi ni lazima tu utakohoa
Akadai ni long time kitambo ananizimia
Sema anaogopa kua chambo samaki atawavutia
Kwamwambia hata usijali kubali mi nije kwenu
Nilete posa kisha mahali harusi tupige menu
Basi mtoto akanielewa akaja tupange yetu
Mahaba yalituelemea nikajikuta nimepiga peku
Baada ya wiki Tatu akaanza kuhisi kichefu chefu
Ama kweli kila Maria hua hakosi josefu
Nami sikumkimbia sikutaka kua mkosefu
Sahivi ye ndo wife na kunalea mimba yetu....