Michano/Hiphop/Freestyle

Michano/Hiphop/Freestyle

Huyu kafukua comment ya kipindi kile[emoji23][emoji23][emoji23] ana nia nzuri kweli??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alikuwa anacheka kuona ulivyonichana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wala hana nia mbaya ndiomana kasema najua mnapendana nyie
 
Alikuwa anacheka kuona ulivyonichana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wala hana nia mbaya ndiomana kasema najua mnapendana nyie
Alafu huwezi amini sikukumbuka kama Kuna hii kitu huku, ningejua ningeshafuta
 
Nishasmoke huku Nadrive wakahisi garimoshi,
Unasaka anaenizidi Kwanza saka tochi,
Sijioneshi kuwa nna Hela niite mi satoshi,
Naomben condom XXL za kawaida hazinitoshi.

Oya wahuni vipi? Miki Rasta vipi?
Cheki Misitu inaisha jinsi mnavyowasha njiti,
Flow Za maangamizi chini chini ka nyambizi,
Madem wanahisi mi mhaya navowapa ndizi,
Mauwezo hayafichiki kama gonjwa hatarishi
Hip-hop inahitaji lifti mwambie rapa Ako aache Siti,
Marapa wengi show mbovu wapeni asali mbichi,

Washangaa nna magenge mengi kama Soko kuu,
Mashabiki Wana maswali wakiniona ote mikono juu,
Mi Ni kocha mwenye mbinu nyingi Zaidi ya fo fo Two,
Nachukua kombe wapinzani wako fofofo tu,

Mkipata hata Sare ntamfukuza kocha,
nna mtandao mpana ila siwezi kuuza vocha,
Nipo kama water, Nafloo kama ghorofa,
Flows nnazo nyingi kama mjini nimeijaza posta,

Sitakuja kuchuja nshaweka kiapo,
Na Muda Ni yuda afu Pesa pilato,
Vijiko tumetupa tutakula Kwa jasho,

Cheki wanavyotapa WaPo kama mfamaji
Anaepanga Ni mola msijifanye wajuaji
Shetani ndo mwenye nyumba japo Mungu ndo mpangaji
Na faida ya hasara Ni utashiba Kula mtaji
 
Ona uyu fala,ulimi kama ndala//

Flow za kishamba,zinanuka kama jalala//

Vipi haujala,Au jana hukulala//

Kusmoke sio ujanja,kichwa kama embe//

Hata mimi nakula unga,ila ni dona na sembe//

Mistari haieleweki,au dogo unakithembe//

Mwembamba kama wembe,Kenge nakuachia kimbembe//

Sauti yako laini, kaza kama Edo kumwembe

Kidume unaitwa kwini,Tutakuvisha bikini//

Tukule mpaka maini,Kuwa makini....

Mcqueenen
 
Back
Top Bottom