dronedrakeLife ni kubattle/na usiogope kuishi gheto/ogopa watoto warito/ufunge ndoa na punyeto/usijeishia kula msoto/usijifanye we mnato/na usiogope changamoto/ujana maji ya moto/piga kazi isiwe majuto.
Red black happy new year 🎉Happy New year Kwa ma-snitch na majembe
Niko nimepoa beach na juisi ya maembe
Kuna Wana hapa JF Wana akili za Milembe
Wengine n mashoga na mashati ya vitenge
Ndo maana unakuta dume lina post za vijembe
Sishangai mamba kwenye msafara kuona kenge/
Ni mwaka wa tatu sasa tangu alipokufa Magu
Wamekuja wenye gubu sasa wanatupa tabu
Mwakani ni uchaguzi najua watacheza rafu
Mshindi ni yuleyule hawezi kipew CUF/
Happy New year 2024 [emoji91]
Fresh, ni vipi?We mkali niaje
AChia jala 2ACHIA JALA Rmx
Begi limejaa manoti/ nimekuona nyingine zipo kwenye koti/ nyumbani unasubiriwa na marost/ na una Ghorofa kama Joti/ So Achia jala/
Siwezi kuku handle kama shost/ kwa sasa mimi ndio remote/ achia noti/ acha ubishi nitakuvunja goti/ empty siondoki/ maana natembelea choki/ so usilete ufala/
Nina fikra kama paka mwenye njaa/
Nilipotoka mashaka yamenipa ushujaa/
Ndio maana nipo hapa kuzisaka chapaa/
Sijali ulipozipata ila hizi ni zangu jamaa/
Nishazisaka kwenye mgodi/ mikosi ikapiga hodi/ biashara nikashindwa Kodi/ mzigo sikuweza ku afford/ nikaomba sana God/ leo pesa unaichezea road/ ACHIA JALA
Hizi pesa unakwenda kuchezea/
Maisha yamesha kunyookea/
Mimi nataka kufuta fedhea/
Hivyo achia jala fala utapotea/
Kisu na hii Baretta ndio mtaji uliobaki/
So ukileta za kuleta nitakupeleka mbele ya haki/
Noma. Hii ina audio yake?AChia jala 2
Majibu;
Unajisifu una gundu na bado unafanya ukora/ unanifuata macho mekundu ili kunipora/
Piga risasi usoni mwangu na sikuitii ving'ora/ nishayachoka maisha yangu hivyo kupumzika ni bora/
Unapagawa na hizi noti unadhani ninastarehe/
Huliwezi hili koti hata nikisema ulipokee/
Wewe una marafiki/ wanaokujali/ una amani moyoni/
Mimi wote masnitch/ kisa hizi mali, nawindwa mpaka ndotoni/
Kisa mkuu wa Idara/ hiki cheo nimetoa ndugu kafara/ mke sitakiwi kumlala/ shetani tushafunga ndoa ya mitaala/
Kariakoo nina biashara, Temeke Kino na Ilala, ukiona msafara/ wangu kwenye barabara/ unaweza ukajiona fala/
Ila hizi pesa kwangu ni chungu zaidi ya shubiri/ sisaidii walio wangu hata dawa wakisubiri/ alikufa baba yangu kwa kukosa tiba Muhimbili, masharti kwangu napaswa kuyakabili/
Ili niishi/ vipi unapata ushawishi/ unazitaka kwa ubishi/ na kukomaa kama Shishi?/ Ukichukua hazikubakishi/ hivyo tuliza dishi/
Haya ma Range na majumba/ yasifanye u change mwanayumba/ omba Mwenyezi akupe Vumba/ halali ule enzi na sio kubumba/
Nayatamani maisha yako/ unayatamani yangu kisa vitita/
Sio kila aliye mbele yako/ anafurahi kukupita/