Siasa ni mchezo halamu chunga usimfunze mwanao, msie ashike sana elimu Maana vyeo na siasa vilimuua farao/Sisemi nimethibitisha, ila ni habari toka vyanzo huru/
American wamekinukisha, Amani imekuwa lulu/
Bongo Corona imekwisha, kama alivyosema Mkulu/
Upinzani viongozi wanakwisha, kuunga juhudi za Ikulu/
Bongo life bado tafu, na maisha ni mafupi/
Using'atwe na siafu, kwa kushikilia chupi/
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji91][emoji91]Ma mcee nawapiga guu la shingo wamedata hawapumui, waliotumwa ku battle wamefyata ka jibwa lililokumbana na chui.../
Wanauliza mbona unasikika japo ngoma zako hawanunui, nabaki kucheka ka mtoto kaoneshwa katuni za futuhi.../
Scars ndo nani huyu rapa mbona hatumjui, mi ni kama kifo ulipo nipo naweza kukubeba hata kama huugui.../
Taifa la rap afu mi ndo raisi, ikulu ni booth katiba yetu ni verse.../
Ndani ya hili taifa ukiimba bongo fleva unasomewa kesi, ni hatari zaidi ka utawala wa magu afu ufumwe na denti.../
Njoo bungeni uone vinasa kila meza, spika ndo deejay kila ngoma ya mbunge anaicheza.../
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma kweli [emoji91][emoji91][emoji91]Japo ukoko nimepata kwenye jungu kuu lakini siachi kukokoa, yeah korona imeisha mniga bado navaa barakoa.../
Japo upo kwenye siku zako ila ukinivalia mini naichojoa, kwenye chaka la wahuni bishoo na hiko kipini puani unatuboa.../
Hali tight na ndo maana pesa imekua ngumu kutoa, so sistaduu ukishoboka ntakuchapa sitajali japo nina ndoa.../
Ooooii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vina vyangu viko deep ka packing ya meli, wenye mtumbwi huku hawafiki engine zao zitafeli.../
Nina zutu la kutosha na ndio maana hamnioni sheli, navo flow kibabe unaweza kudhani kafufuka makaveli.../
Niko juu kama tower ya kule babeli, na ndio maana rap yangu iko njema ka imeshushwa na gabriel.../
Kila sekta niko good sijawahi ku-carry, naweza ku flow kibudundi au hata ngeli.../
Nikishika mic nawalewesha wanasizi kama kuku mwenye kideli, kwa hivi vina acheni niwalainishe zaidi ya ky jelly.../
Yes mkushi niko nyuma ya mic, nasambaza upendo kama mkwepu kwenye batani ya like.../Ooooii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ndio maana hali ya mitaa imetulea [emoji91][emoji91]Skiza nikupe adress mahali ninapotokea, mitaa nayokaa wengi tuna exepeience ya kupelekwa segerea.../
Ukiona vijana wanazungumza na hujasikia tusi ujue umepotea, penye wanawake wawili au watatu basi pana msuto au umbea.../
Mabishoo wa huku wengi nguo wanagongea, wakilipuka viwanja hata demu wako akijichengua wanakubebea.../
Giza totoro ka ni bishoo kua makini na chocho, uswazi full vibaka wahuni wanapiga kabali si kitoto/
Wanamafunzo ya karate kungfu hadi taichi, kama ulivaa tai watakukaba nayo hata ukilia hawakuachii.../
jumamosi vigodoro ndo siku mabinti huvaa nusu uchi, wakimwaga radhi we bana zipu kuzuia ashki.../
Mitaa nayotokea sio siri imejaa vurugu, usishangae siku umekuja ukaona doka limejaa mamwela wameshika virungu.../